thebigbobo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 168
- 17
Hawa wanawake bhana sasa ni km hadithi ya Adam na hawa yaani hawa watu wanajua weakness zetu nenda katubu km dini inakuruhusu.
Katika watu wasiojielewa wewe na ....... Wewe ni wa kwanza.
Mimi ni mtu wa Makamo nina miaka 45 nimejaliwa NSSF nimejaliwa kuoa wake wanne, Hawa, sauda, salma, na Janeth.
mke wanne ni msomi kiasi Ana degree na hivi majuzi amehitimu CPA.
Kila Mke nimempa Nyumba. Huyu wa nne anakaa mikocheni B.
Mimi nampenda sana bi mdogo, wanasena kipya hakinyemi, kuna siku aliniandalia chakula akaniambia ni halamu but nikila siwezi kufa,
Kwa kuwa nampenda sana nikaonja kabla sijaamaliza kutafuna akaniambia ni Kitimoto. Nilishituka nikatema haraka nikamuangalia kwa hasira huku tukikutanisha macho kwa dakika kadhaa huku nikitetemeka.
Akavua nguo zote akaniambia "nifanye chochote lakini mapishi yangu ya Leo yameishia hapo"
Mara nikahisi kautamu kanakuja kwa mbali nikashushia na tonge la ugali.
Sasa Toka siku hiyo bila Kitimoto sipati raha.
Wake zangu watatu wamepata habari kuwa nalishwa Kitimoto na Janeth ndio maana kila siku nalala kwake! WanaJamii Forum nifanyeje kuokoa familia yangu?
Mimi usadhi maulid bashir
Katika watu wasiojielewa wewe na ....... Wewe ni wa kwanza.[/QUOT hiyo ni opinion yng ww Honey faith so hata ww unaweza weka yako Ala!
Kwa kipindi chote cha maisha yangu nimegegeda mwanamke mmoja tu kwa kifupi mimi sijui kutongoza ila roho yangu ipo kwa wahindi, waarabu na wazungu nikikutana nao mi hoi ila kutongoza siju hata kidogo kiasi kwamba nimebakia kupiga Nyeto tu kwa miaka zaidi ya 15 baada ya kuchana na mpenzi wangu nikiwa form two. Kwa wataalamu mnipe maujuzi!
Watu wengine bhana sasa papuchi uliyokuwa unaitafuta kwenye hi linki Natafuta mpenzi ambae hataki kuolewa ilikuwa ya nini wakti wewe una wake wanne, au wote papuchi zao karai
Mimi ni mwanaume 30yrs baada ya kutoa mada hapa JF kuwa Mke wangu Ana papuchi kubwa.
Amekamata simu yangu na kusoma comment baadae Ameniacha kabisa na kuondoka na House girl.
Sasa sina papuchi ya kuniliwaza naomba Msaada wenu, Mwanamke msafi asizidi miaka 50! Inbox namba yako hapa. ila sina mpango wa kuoa nikuliwazana tu.
Watu wengine bhana sasa papuchi uliyokuwa unaitafuta kwenye hi linki Natafuta mpenzi ambae hataki kuolewa ilikuwa ya nini wakti wewe una wake wanne, au wote papuchi zao karai