Ungetuambia kosa ulilofanya. Na mbinu ulizotumia kumsahaulisha!
Hapana sijatoka nje,,,na nilikuwa sijakutana naye mwezi mzima lakini mpaka sasa jogoo anakataa kufanya kazi kama kawaidakama uliruhusu kuku wako kudonoa nje ni ngumu kukusamehe...hasa kama alikua anakuamini sana.....
Nashukuru alinipa ushauri wa kutosha,naufanyia kazi japo sijarejea kama kawaidaHilo tatizo lako ni kubwa sana kisaikolojia nafikiri daktari alikushauri vya kutosha
Ndugu wana jamii,mm ni kijana wa kiume nina girlfriend wangu lakini last week nilifanya kosa ambalo kwa kweli mm mwenyewe sikulitegemea,akawa amekasirika sana,,nikawa nimekubali kosa na kumuomba msamaha na akanikubalia kwamba yameisha,,lakini i feel pain kwasababu ninavyoongea naye sio mtu mwenye furaha kama kawaida,huwa nikimpigia simu ananisikiliza tu,,yaani ni kama hataki kuongea na mm,,nimejitahidi kwa kila khali kumfanya asahau yaliyopita lakini bado hajarudi kawaida,,Je wana jamii naomba msaada wenu kweli amenisamehe? ama amefanya hivyo ili yaishe tu? kwa kweli na mm amani imepotea kwa sababu tuna malengo ya kufunga ndoa mwaka ujao.
kosa gani hilo uli ua binadamu ama ?by the way ystrd is history lyf goes onNdugu wana jamii,mm ni kijana wa kiume nina girlfriend wangu lakini last week nilifanya kosa ambalo kwa kweli mm mwenyewe sikulitegemea,akawa amekasirika sana,,nikawa nimekubali kosa na kumuomba msamaha na akanikubalia kwamba yameisha,,lakini i feel pain kwasababu ninavyoongea naye sio mtu mwenye furaha kama kawaida,huwa nikimpigia simu ananisikiliza tu,,yaani ni kama hataki kuongea na mm,,nimejitahidi kwa kila khali kumfanya asahau yaliyopita lakini bado hajarudi kawaida,,Je wana jamii naomba msaada wenu kweli amenisamehe? ama amefanya hivyo ili yaishe tu? kwa kweli na mm amani imepotea kwa sababu tuna malengo ya kufunga ndoa mwaka ujao.
Mtumie kama laki mbili hivi kwa mpesa. Asipozirudisha ujue amekusamehe. Akizisend back imekula kwako.
Hapana sijatoka nje,,,na nilikuwa sijakutana naye mwezi mzima lakini mpaka sasa jogoo anakataa kufanya kazi kama kawaida
Mtumie kama laki mbili hivi kwa mpesa. Asipozirudisha ujue amekusamehe. Akizisend back imekula kwako.
Kwa kweli ni tatizo la kisaikolojia,nilikutana naye kwa ajili ya kufanya mapenzi lakini nikawa nimeshindwa kutokana na jogoo kukataa,,lakini jogoo alikuwa anafanya kazi mpaka karibia na sex akagoma na mpaka sasa sijarejea sawa na ilinibidi niende kumuona daktari akanipa ushauri na sijui ilisababishwa na nn?
Kwa kweli ni tatizo la kisaikolojia,nilikutana naye kwa ajili ya kufanya mapenzi lakini nikawa nimeshindwa kutokana na jogoo kukataa,,lakini jogoo alikuwa anafanya kazi mpaka karibia na sex akagoma na mpaka sasa sijarejea sawa na ilinibidi niende kumuona daktari akanipa ushauri na sijui ilisababishwa na nn?