Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,127
- 1,290
Kipindi hicho wewe ulikuwa na wangapi.Habari za wekeend wakuu,
Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali
Nimekaa dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wqngu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano,
sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena,
Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
Ni mpenzi wenu au mpenzi wako?Habari za wekeend wakuu,

Daaah, uko wapi kwani......Habari za wekeend wakuu,

Laana
Huyo and makovu ya wapare mwili mzima, akisikia tu mpare nywele zote zinamsimama.
Shemegi kautakaMwanakulifind, mwanakuliget. Sasa unlia lia nini na uliuliza, ukapewa majibu!!
Acha basi mkuu, unazingua sana.Laana
Wewe umekuwa na wangapi kwa kipindi hicho? Tumia hesabu yako kuamua.Habari za wekeend wakuu,
Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali
Nimekaa dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wqngu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano,
sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena,
Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
Sasa analia lia🤣Shemegi kautaka
🤣🤣🤣 Mmeshindikana!Acha basi mkuu, unazingua sana.
Watu wabad kabisa, miamba ya kaskazini🤣🤣🤣Huyo and makovu ya wapare mwili mzima, akisikia tu mpare nywele zote zinamsimama.
Namwambia ajaribu wajaluo, kwanza wapare wafupi...sijui aliwapendea nini...Watu wabad kabisa, miamba ya kaskazini🤣🤣🤣
Ajabu sana hii🤣🤣🤣kwanza wapare wafupi...sijui aliwapendea nini...
Mbona ni wachache? Nilikutana na msichana sehemu ya kazi tukaanza mahusiano. Siku ya kwanza kutaka kula mzigo alitaka kavu. Nikasema hapana kwa sababu mbali na magonjwa unaweza pata mimba isiyotarajiwa. Akaniambia, "Yaani hapa wamepita watu 28 na hawajai kunipa mimba uje kunipa wewe leo? Hahaha,,,na tuliishia pale pale.Habari za wekeend wakuu,
Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali
Nimekaa dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wqngu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano,
sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena,
Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
Duuh hawa viumbe hatari sanaMbona ni wachache? Nilikutana na msichana sehemu ya kazi tukaanza mahusiano. Siku ya kwanza kutaka kula mzigo alitaka kavu. Nikasema hapana kwa sababu mbali na magonjwa unaweza pata mimba isiyotarajiwa. Akaniambia, "Yaani hapa wamepita watu 28 na hawajai kunipa mimba uje kunipa wewe leo? Hahaha,,,na tuliishia pale pale.