Mpenzi wangu amebadilika ghafla

Amekuta kwako ndivosivo

Au


Huna uwezo na tendo.


He anataka akujibu live?

Bora alibp kimya tusije kukupoteza bure
Maana umekutana na MTU ambae amekuzidi kete kwa mengi.
 
Nakuuliza ulifanya nae mapenzi?
 
Mkuu pole sana! Kwa hakika huyo si wako tena!,
Inaonekana kabla hajaja kwako tayari alikuwa na mwingine ambaye alishamfanyia interview, kwa hiyo huenda alikuja kwako ili kuwapima kimo! Sasa imeonekana alichokuta kwako sicho alichokuwa anakitemea!
Hivyo umeshafeli katika vigezo vyake, hivyo funguo kampa mshindani wako!
Hapo shika time zako, chuna kimtindo anza upya kivingine nina hakika utampata tu wa ndoto zako, vinginevyo utaendelea kujitesa na kujiumiza bure!
 
Ahahahah.pole sana kijana

Ila, Hiv mawazo ya kuoana mnayatoaga wapi ndugu mapema namna hiy wakat hamna hata atleast 2 years pamoja?!

Mimi mawazo ya kumuoa angalau yalikuja kwa mbaaaaaali baada ya SENDOFF yake ndio nikashtuka aallahhhh!!!kumbe huyu ndio mke mtarajiwa!! ?? Basi ndio hapo mawazo ya kuoa nilipoyapata.
But before, walaah!!yan mpaka tumeanza vikao vya harus ila mm hata hayo mawazo ya kuoana sina.😁
 
Asante sana ndugu yangu, nakushukuru kwa ushauri wako!!
 
Khaaa!!! We noma sana kakaa!! Hahaa!!
 
Tatizo alipokuja ulimsifia sana Lisu mbele yake na sera ya lisu kula na kuliwa kiboga ni halali ,sasa akashituka baada ya October 28 utaanza kumla 071
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…