Mpenzi wangu amebadilika ghafla

Kwenye mapenzi yenu kila kitu kinaenda haraka haraka na ghafla.

Ghafla mkakutana, ghafla mkapendana, ghafla mkatambulishana kwa watu wa karibu, ghafla unataka kwenda kwao, ghafla akaja kwako, then now ghafla amebadilika.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka ghafla
 
Watu mna shida. hivi huoni umekataliwa mkuu. kagundua huna future
 
Dah kama huyo binti kambadilikia mpaka Mtoto wa Jadu,huyo kashindikana.
 
Mkuu kula vizuri, sali sana, tafua hela kwa nguvu zote, fanya mazoezi halafu uache kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu wengine

Thank me later
Asante ndugu yangu kwa ushauri kuntu![emoji106]
 
Tatizo lako ongea na mahera wa nec
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…