NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Huyo mwanamke ni wako wewe,na kama alikua amekonda kiasi cha ku fit viganjani,na ghafla akanenepe wewe unahisi nini? au unawasiwasi gani unadhani huenda akawa na nini labda?
ili muwe sawa na wewe go injection ili wote muwe wazuri na wewe ongezea vipoda basi hapo itakuwa burudani kabisa.Kudos hi there!!!
Wakuu kuna huyu mpenzi tulijuana kipindi akiwa amekonda, kiasi kwamba angetosha kwenye viganja vyangu. Ila uvaaji wake siku hizi lazima ajipake poda. Na kwa sasa amekuwa mnono as if anatumia injection zile ambazo humfanya mtu anenepe.
The issue ni kwamba every day anazidi kuwa mzuri tu, mpaka hata yeye amekuwa anajishangaa.
Hebu niambieni nifanyeje wakuu. I know she went injection tho she refused to tell me the truth!!