mpenzi wako kucheza hovyo disco

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,685
Reaction score
983
Jaman wadau naomba kujuzwa hivi ukawa na mwandani wako katika kumbi za starehe ikatokea mpenzi wako wa kike amelewa na wewe umechoka kucheza then unamuona yupo katikati ya dance anamwaga radhi ovyo wewe kama wewe utamfanyaje! Ikiwa akiwa karibu nawe hafanyi hayo !
 
Ngoja niwapishe vijana waje wakujibu.
Tutarudi baadae
 
disco ulimpeleka mwenyewe, pombe umemnunulia mwenyewe, mpaka analewa shida iko wapi? ukimuana anamwaga radhi nenda kamtunze! tena mwambie akazane hadi hamu imuishe. sasa siku nyingine uamuzi ni wako umpeleke disco au?
 
Ni vizuri kalewa akashindwa ku pretend hivyo nitaiua tabia yake halisi.
 
mmmmmph ujana maji ya moto umempeleka mwenyewe halafu unajihoji nini sasa.
 
Haahahaaa alkudanganya wa geti kali,
itu imetulia kichwani anaonesha alivyo!
 
Aisee, Disco ni sehemu ya starehe, mwache huyo mkeo/mpenzio afurahi anavyotaka, acheze anavyoweza, hakuna tatizo hata akicheza na mtu, hawafanyi ngono pale wanacheza tu, mwisho wa siku ataondoka na wewe. Muache awe free sana mnapokuwa disco. Ila kumwaga radhi noma, ukiona anaanza kusaula nguo kamtoe, ila usimfokee, pombe si chai.
 

Usikimbilie kulaumu mkuu, DISCO SI UMEMPELEKA MWENYEWE? NA POMBE UKAMNUNULIA, kosa ni lako, kwa sababu ya pombe kafanya hivyo, USIMLAUMU, UMEMWAGA MBOGA AKAMWAGA UGALI Lol!:mvutaji:
 
No wonder mahusiano yanavunjika sana, sasa mambo ya kukaa wewe na mtu wako na kuongea unaleta JF ndio wakuamulie kweli??
 

naenda kumbambia hapo na ku-enjoy nae hapo huku namfanyia mambo yakikubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…