Kwani juba ndo halipezeshi?...kumbe itabidi nianze kujichunguza kwanini navutiwa na wavaa majubaMimi . Mvaa majuba...hi hainihusu
Vaa majuba ukiwa nje lakini ukiwa ndani na mwandani wako jiachie ili asibabaishwe na vimwana huko njeMimi . Mvaa majuba...hi hainihusu
Owky...nimekusomaVaa majuba ukiwa nje lakini ukiwa ndani na mwandani wako jiachie ili asibabaishwe na vimwana huko nje
Kila mtu anavutiwa na baadhi ya fasheni hasa pale umpendae anapovaa basi roho inajisikia muruaaaa kabisa kiasi cha kwamba unatamani hata umtongoze tena..
Ni vazi gani linakuvutia zaidi akivaa baby wako na hata kama hajawai kuvaa ivyo basi unatamani siku moja avae namna hiyo?
Mimi binafsi baby wangu akiivalia skin jeans tumboni najisikia muruaaa kabisa yani napenda avae kuanzia tumboni na sio kiunoni...yani nikipishana na manzi kaivalia skin jeans tumboni lazima nimsemeshe kitu yani najikuta tu nimempenda ghafla
View attachment 1675522
Napenda skin tight ndefu ...Seema tu siwezi vaa nkatembea kwa Barabara..Napenda kuvaa high waisted jeans kama hiyo kwenye picha
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hapo unawaza game tuBoxers [emoji846]