Mpenzi wako akifanya kama hivi utamuuliza? Utaanzaje kumuuliza?

Usielewe vibaya kama ni moja tu wengine huwa wanatumia kama raba bendi ya kushikia soksi wee endelea tu mwanawane
 
Nitamnunulia BOX zima akae nalo - kwa maana anajali
I hate cheaters! Lakini at least responsibility. Kutumia kinga, inaweza isiwe kwa nia ya kumlinda mwenzi wako(you are cheating anyway!), but ni kwa ajili yako mwenyewe! Lakini Pape, inawezekana aliifungua kui-study tuu. Au just to smell it. be positive!
 
Si afadhali huyo anajali kwa kutumia kinga, na ukikuta anafanya bila ya kinga na wewe huna habari? Mimi nitajipa moyo kuwa afadhali ametumia kinga hivyo yuko salama,

Unahakika gani kama jamaa alikula zigo kavu kavu na kisha akataka kujiexpress ndo akatumia hiyo moja kujikinga asijetembea na kibuyu cha mbavu badae? hahaaaa

Hapo nikuchapa mwendo tu,hakuna kuangalia nyuma maana unaweza geuka jiwe
 
I hate cheaters! Lakini at least responsibility. Kutumia kinga, inaweza isiwe kwa nia ya kumlinda mwenzi wako(you are cheating anyway!), but ni kwa ajili yako mwenyewe! Lakini Pape, inawezekana aliifungua kui-study tuu. Au just to smell it. be positive!
Hapo kwenye nyekundu ndo pananipa shida kabsaaaaaaa.
Siku zote tunatumia na yeye mara nyingi ndo anafungua iweje aje ajifunze wakati sipo?
 
Think positively!

na wewe ni mwizi kwa nini uhisi kuibiwa; kwani hawezi kutumia na kurudishia; acha kufikiri hasi namna hiyo!
 
Mi namshangaa huyu jamaa; usitoshe si ajabu nawe hapo ni mpita njia tuu; angekuwa ni wako muhibu usingekubali aishi mwenyewe
 
Ninavyoelewa kondom hutumika kama kinga dhidi ya VVU. Zipo njia nyingine 2 ambazo ni abstinence (kutokufanya ngono), ikishindikana hiyo tunaambiwa tuwe waaminifu kwa mpenzi mmoja asiyeambukizwa, na hiyo ikishindikana pia basi ndipo tutumie kondomu.

Inavyoelekea ninyi wawili mmesharidhika kuwa njia 2 za mwanzo hamziwezi, ndipo mkaamua mtumie kondomu. Sasa kinakushangaza kitu gani kama umekuta mwenzio kajisevia kondomu moja tu kati ya 3 ulizomwachia?

Unapofanya uchaguzi, uwe tayari pia na consequences that go with that choice. You can't eat your cake and still have it: you either keep it so you can continue to possess it, or eat it so you don't have it anymore!
 
aaaah mi bana kwanza ndo na abandon na kondomu zentewe naanza kula kitu kavu kavu,maana analeta dharau sasa
 
hapo nafikri huyu mtu ni mtu anyejijali yeye na anakujali wewe pia. cha kufanya hapo kula kwanza hilo tunda halafu habari nyingine baadae. kwani ukimuuliza papo kwa hapo yaweza kuleta hatari na mambo yakawa mabaya zaidi. lakini kama umeshindwa kula tunda basi acha na uonyeshe sababu nyingine tofauti na hiyo.
nafikri hapo kimeeleweka
 
tatizo kubwa ni kujua kama mpenzi wako anatoka? Lakini jiulize kuwa amekuwa anatoka hata kabla hujamfuata na akaendelea kutoka mkiwa pamoja, hii hoja ya kumiliki imetokana na nini? Ukianza jambo maliza halafu utauliza kwa sababu atakuwa hajafanya siku hiyo!!
 
Maswali mengine bwana; we kama umekolea biashara; habari ndio hiyo! Akikujibu kweli alimegwa zen? whats next?
 
Duu, zingekua mbili au zote zimetumika ukakuta pact empty hapo ningejua kamegwa salama, lakini kisingle !!!!! cha pili ilikua kavu kavu !!! anyway, wewe chapa mzigo na hizo mbili kwanza then ukimaliza utuulize tena what to do next OK !
 
Back
Top Bottom