kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,652
12:49 n usiku sana?????????Lala mkuu Ni usiku Sana
asante kwa ushaur ntafanya ivomkatekate muweke kwenye begi ukamtupe polini,,, ila ukijifanya kutoa taarifa police itakura kwako ,,
wakuu kwema
huwa najiuliza sana mfano imetokea umekuw na mahusiano na demu alafu baada ya week akaja getho kulala
asubuh unamuamsha unataka uingie mishe mishe unashangaa haamki,unamtikisa unaona hatikisiki ,unammwagia maji haamki.unahamaki kuona anatokwa povu mdomoni,unamgusa unakuta wa baridii
unagusa kifuan unashtuka mapigo ya moyo hayadundi.
je utatoka nje uwajuze majiran?? wataamin vipi kama n bahat mbaya
je utatoroka?? hapa utakuw umejivua utu na itaonekana kama ulikusudia
ukibak tena ni msala tena msala kwel kwel
wakulungwa leo tupige story hii inshu ikitokea we utafanyaje japo hatuombei itokee.
Kwahiyo umejiandaa kufiwa? Au umepanga kumuua?asante kwa ushaur ntafanya ivo
π€£ π€£ π€£ π€£So you can just throw the whole ghetto away and elope to the nearest forest while figuring your next move.
wana track na kuwashikilia watu watano wa mwisho aliowapigia au kuwatumia SMS, watakudaka tumkatekate muweke kwenye begi ukamtupe polini,,, ila ukijifanya kutoa taarifa police itakura kwako ,,