Mpenzi wake kampa mimba msichana mwingine

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,675
Reaction score
1,756
Habari,ni binamu wa rafiki yangu kaja kwa rafiki yangu jana jion akiwa analia akidai kwamba mpenzi wake waliedumu nae takriban miaka mitano sasa kampa mimba binti mwingine ila huyo binti anavodai anadai huyo mwanaume kamwambia hawezi kumuoa huyo binti aliempa mimba bali atamuoa huyo binamu wa rafiki anadai yeye kwa huyo binti atalea tu mimba na mtoto,binafsi nimemshauri aachane nae tu maana ishaonekana kijana si muaminifu na wazazi wengi huwa hawaachani sabu mtoto huwa anawaunganisha,na wengine mshaurini afanye nini kwa hilo lililomkuta?
 
Ww umeshatoa ushauri halaf ndio unauliza?!
 
Kwani kucheza ligi ya mchangani a.k.a ndondo cup ni vibaya??

Kitanda hakizai haramu lakini ujue...


Huyo rafiki ako miaka yote mi5 hajapewa mimba tu..?? unaweza kukuta jamaa alishindwa kuvumilia kikamponyoka
 
Kwa hyo ulikua unahtaji ushauri gan hapa sasa?
Baadhi ya Wanawake wa nchi za ulimwengu wa tatu mna tabu.
 
Miaka mitano ya upenzi ni mingi sana, hayo mapenzi hayakuwa na mwelekeo.
 
Miaka 5 yote hajamuoa, afu kashampa mwanamke mwingine mimba. . Hajui njia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…