Mpenzi wa rafiki yangu ananitaka

Mpenzi wa rafiki yangu ananitaka

Mp nyanso

Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
95
Reaction score
8
Jamani linanisibu hili:

Kuna demu wa mshikaji ambae ananitaka kimapenzi kwa njia awezayo, na kila ninapokutana nae anamkana sana mshikaji kuwa hajawahi kutoka nae japo ni kweli demu katumika, so nifanyeje wana?
 
hivi Kiswahili kiliungana na kichina tayari?
 
Kwani wewe akili yako imekutuma ufanyeje?Tuanzie na hapo kwanza
 
ilitakiwa aibu aone yeye sio wewe
 
Kama humfill mpe za uso mwana. Halafu kama jamaa ni mshikaji wako kinoma mtonye ili asijemshobokea demu kivile sababu demu mwenyewe siyoo......Gonganisha goma hilo...mrekodi wakati anaongea na wewe kuhusu hayo mambo au mwambie jamaa amfumanie tuu yaishe....




Jamani linanisibu hili;

Kuna demu wa mshikaji ambae ananitaka kimapenz kwa njia awezayo, na kila ninapokutana nae anamkana sana mshikaji kuwa hajawahi kutoka nae japo ni kweli demu katumika, so nifanyeje wana?
 
kwani mademu wameisha? achana naye..akileta sana..mtonye mshkaji wako!
 
Ntakuona mstaarab kwa kumwambia ukweli huyo mwanamke na akizid s umtonye tu mshikaj wako
 
Jamani linanisibu hili:

Kuna demu wa mshikaji ambae ananitaka kimapenzi kwa njia awezayo, na kila ninapokutana nae anamkana sana mshikaji kuwa hajawahi kutoka nae japo ni kweli demu katumika, so nifanyeje wana?
Ivi ingekua huyo huyo asiekua na mshipa wa NOMA ni wako wewe na rafiki ndio ana sumbuliwa halafu rafiki akamgonga na wewe ukijua utajisikiaje? usijirahisishe huyu ni janvi la wageni na wewe ni mwanamme kua na maamuzi ya kuime .....
 
mh hali ngumu, kwa sasa wanawake wanataka haki sawa ktk mahusiano!
mshirikishe jamaa na kisha umsikie anasemaje. hiyo ni baada ya kumrekodi
 
Back
Top Bottom