the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 836
best the american dream unaongea nini tena? kuna tofauti ya kuomba na kupiga mizinga. wewe kila siku huna aaahh halafu kujenga kwake kunakihusu nini?? gangamala kiume
Ushauri tuliopewa kinadada kutoka blog moja maarufu.
"Enyi wanawake tambueni.Kwa mila na desturi zetu za kiafrika nasema hivyo kwasababu ndo nizijuazo zingine sijui.Mwanaume anayekuomba hela wewe kila wakati angali naye ana kazi tena wakati mwingin nzuri zaid yako.Kimbia adi unyayo ufikie goti.
Hakuna mapenzi ndugu apo Huyo ni marioo na he is after money.
Na ndo mana anataka kumuoa mwenye pesa zaid Ondoka mamaa kabla hajakuingiza hasara zaidi.
Hebu kwa pamoja tushirikiane tutokomeze midume inayotamani kuwa treated like women.Imejaa tele mitaan hawana mapenzi wenyewe ni pesa."
MIMI BINAFSI MWANAMME MPYA AKINIOMBA KIPESA CHANGU AU AKATEGEA KULIPIA BILI FULANI SIO SIRI NAMWACHA KISAILENSA!!! N.B huyu ni mpenzi tu na sio mume wa ndoa!!! kiruuuuu
cc: Heaven on Earth tinna cute shikamoo Nyani Ngabu amu Bulldog Excel halafu OLESAIDIMU unapenda mteremko wewee
Since i know her that was my first time namuomba msaada,kama kusaidiwa na rafiki sio vizuri whats the meaning of friendship na namsubiri kwaa kwel!,nyumba mi wala sina tatizo nayo ni ya kwake nilisema nikirefer kuwa economically she is well tofauti na mimi lakini its ok muda utaongea.
OLESAIDIMU huyu huyu?
Ha ha aaa atakuumiza kichwa bure huyo Sista, ye anawakataza hapa wakati huku analeta moaka senti ya mwisho!!!
hata mimi pia mwanamke anayepiga mizinga kila dakika huwa ananiboa sana!!!
unakuta anafanya kazi nzuri yenye kipato kikubwa ila kila kukicha ni ngendembwe mpya!!!!
mwanamke wa hivyo huwa namkimbia kisailensa!!!
Loooooh!!!! mie kumpa mwanaume hela labda ya vidonge tu na tena awe na kisibitisho cha homa kali! otherwise hela yangu kwny pay slip bank.
Naona aibu kumuomba pesa mwanamke
mwa! mwah! mwah!
Mmmhhhhh unaonekana unapenda sana mteremko. Ww ndo wale mnaowafanya wapenz wenu ni baba zenu, yani kila kitu wawagharamie. Mnataka kila mnachofanya pamoja gharama alipe yy na sio ww. Mmmhhh mbadilike jaman.umeona eeh dear. kuna jamaa niliwahi kudate nae kila ukikutana naye ni malalamiko mama yake anaproject hii anahitaji ampe pesa, mara mtoto wa kaka ananidai ada mara sijui niini alimradi nisipate chance ya kumwomba msaada kama mpenzi wangu. too much kulalamika
Sijui hata unanza anzaje? najua wenye tabia hii ni wale wanaume wanojiona 'warembo'
kumtegemea mwanamke ni uhuru wa bendera!!!