Mpenzi wa hivi tunamfanyaje

kulipa bill ni kiherehere kaa tulia acha alipe bill a man should lake care of his lady alijisemea ''steve Harvey''
kama anamatatizo hilo ni jambo lingine tutasaudiana but kuombana hela mmmh mi mwenyewe nna aibu kumwomba mwanaume hela. i expect him to take care of me bila kumuomba.
ila mapenzi bwana ni kitu kingine unaweza ukajikuta mdada unatoa tu hata hujaombwa
 
Kama kapata shida sawa naweza msaidia lakini hivi hivi mhhhh???
 

mdukuzi huyu mpatie councelling jamani mwasi kitoko motema na ngai. nakubali tulienda beijing ila si kihivooo unavyodhani.
 
Last edited by a moderator:
You really have what it takes to be called a "wife"

Mapi hata neno la mungu linakukumbusha kuwa uresponsible kwa mkeo eeeh. sio mizinga ya ajabu wakati wewe ndo key wa nyumba
 
Last edited by a moderator:
Ivi dume zima ntaanzaje kukuomba mwanamke hela? Nashindwa kuitafutia njia ya kuanzia mhhh
 
Kwa namba kama ya simu au efax (online fax).
sikujua hivo ila nilikuwa nadhani may be wanawahisha kwenye p.0.box ya mtu.

kwahiyo kibongo watu wakitumia barua kwa fax wanapataje kwa mda mwafaka?
 
sikujua hivo ila nilikuwa nadhani may be wanawahisha kwenye p.0.box ya mtu.

kwahiyo kibongo watu wakitumia barua kwa fax wanapataje kwa mda mwafaka?

Kibongo bongo sijui yakhe.

Ila nijuacho (ambacho nitumiacho mara kwa mara kazini) ni namba kama za simu na efax.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…