Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,992
- 2,308
Ushauri tuliopewa kinadada kutoka blog moja maarufu:-
"Enyi wanawake tambueni.Kwa mila na desturi zetu za kiafrika nasema hivyo kwasababu ndo nizijuazo zingine sijui.Mwanaume anayekuomba hela wewe kila wakati angali naye ana kazi tena wakati mwingin nzuri zaid yako.Kimbia adi unyayo ufikie goti.Hakuna mapenzi ndugu apo Huyo ni marioo na he is after money.Na ndo mana anataka kumuoa mwenye pesa zaid Ondoka mamaa kabla hajakuingiza hasara zaidi.Hebu kwa pamoja tushirikiane tutokomeze
midume inayotamani kuwa treated like women.Imejaa tele mitaan hawana mapenz wenyewe ni pesa."
MIMI BINAFSI MWANAMME MPYA AKINIOMBA KIPESA CHANGU AU AKATEGEA KULIPIA BILI FULANI SIO SIRI NAMWACHA KISAILENSA!!! N.B huyu ni mpenzi tu na sio mume wa ndoa!!! kiruuuuu
cc: Heaven on Earth tinna cute shikamoo Nyani Ngabu amu Bulldog Excel halafu OLESAIDIMU unapenda mteremko wewee
ohhh mario motema na ngai mwasu kitokoUshauri tuliopewa kinadada kutoka blog moja maarufu:-
"Enyi wanawake tambueni.Kwa mila na desturi zetu za kiafrika nasema hivyo kwasababu ndo nizijuazo zingine sijui.Mwanaume anayekuomba hela wewe kila wakati angali naye ana kazi tena wakati mwingin nzuri zaid yako.Kimbia adi unyayo ufikie goti.Hakuna mapenzi ndugu apo Huyo ni marioo na he is after money.Na ndo mana anataka kumuoa mwenye pesa zaid Ondoka mamaa kabla hajakuingiza hasara zaidi.Hebu kwa pamoja tushirikiane tutokomeze
midume inayotamani kuwa treated like women.Imejaa tele mitaan hawana mapenz wenyewe ni pesa."
MIMI BINAFSI MWANAMME MPYA AKINIOMBA KIPESA CHANGU AU AKATEGEA KULIPIA BILI FULANI SIO SIRI NAMWACHA KISAILENSA!!! N.B huyu ni mpenzi tu na sio mume wa ndoa!!! kiruuuuu
cc: Heaven on Earth tinna cute shikamoo Nyani Ngabu amu Bulldog Excel halafu OLESAIDIMU unapenda mteremko wewee
Ile ya kusaidiana anapokwama sawa.. ila sio kukuomba kila siku
Kama wanawake wanaomba msaada, kwanini wanaume wasiombe!!!! Ombeni tu.... nanyi mtapewa....
Kuomba ilhali niko mzima kiakili na kimwili kwangu mwiko.
Been on my own since I was 18 and I've never asked even my parents for money.
Sasa sielewi dume zima unaanzaje kumwomba mtu mwingine hela.
Ushauri tuliopewa kinadada kutoka blog moja maarufu:-
"Enyi wanawake tambueni.Kwa mila na desturi zetu za kiafrika nasema hivyo kwasababu ndo nizijuazo zingine sijui.Mwanaume anayekuomba hela wewe kila wakati angali naye ana kazi tena wakati mwingin nzuri zaid yako.Kimbia adi unyayo ufikie goti.Hakuna mapenzi ndugu apo Huyo ni marioo na he is after money.Na ndo mana anataka kumuoa mwenye pesa zaid Ondoka mamaa kabla hajakuingiza hasara zaidi.Hebu kwa pamoja tushirikiane tutokomeze
midume inayotamani kuwa treated like women.Imejaa tele mitaan hawana mapenz wenyewe ni pesa."
MIMI BINAFSI MWANAMME MPYA AKINIOMBA KIPESA CHANGU AU AKATEGEA KULIPIA BILI FULANI SIO SIRI NAMWACHA KISAILENSA!!! N.B huyu ni mpenzi tu na sio mume wa ndoa!!! kiruuuuu
cc: Heaven on Earth tinna cute shikamoo Nyani Ngabu amu Bulldog Excel halafu OLESAIDIMU unapenda mteremko wewee
Ile ya kusaidiana anapokwama sawa.. ila sio kukuomba kila siku
Kama wanawake wanaomba msaada, kwanini wanaume wasiombe!!!! Ombeni tu.... nanyi mtapewa....
umenena kweli tena usiombe wewe ukawa mfanya biashara afu yeye mfanyakazi kila siku atakuwa anasingizia baby mshahara bado naomba nisaidie ela ya kula wanaume wengine hawana ata aibu.
Kwasababu hupendi bolingo
umeona eeh dear. kuna jamaa niliwahi kudate nae kila ukikutana naye ni malalamiko mama yake anaproject hii anahitaji ampe pesa, mara mtoto wa kaka ananidai ada mara sijui niini alimradi nisipate chance ya kumwomba msaada kama mpenzi wangu. too much kulalamika
Haaaaaaaaa hiyo sababu pekee tu
Ndiyo lovito,kesho nitaenda kuangalia sanduku la posta nategemea barua yako ya majibu yangu ya awali
sikumbuki mara ya mwisho kutuma SLP
tutawasiliana vipi?halafu kesho natoka pande za mkuranga,kisemvule,nitapitia kunduchi kwa utafiti,nitakuwa na tikiti maji za kukuzawadia utafurahia zilivyo tamu ukitafuna lazima ulowe kifua.sikumbuki mara ya mwisho kutuma SLP
Viol,Who still uses snail mail anyway?
Viol,
some people still use it.. job vacancy wana request kabisa kuwa all application zitumwe kwa snail mail...
It's been way over a decade since I used it.
kwani fax huwa inakwaje?It's been way over a decade since I used it.