MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,076
- 3,564
Mpende akupendae, asikupenda tambaa zako kama hiyo haitoshi basi tawala hisia zako
Hakuna dhambi kubwa kama kuchezea hisia za watu
mpende anayekupenda asiyekupenda achana naye. kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport
asilani abadaniNa haitakuja kamwe
poleni na majukumu wana JF,
hivi ni kwanini mpenzi umpendae hakupendi na usiempenda ndiyo anakupenda?, hii hutokea kwa pande zote 2 KE ana ME, kwanini wengine wanafikia kuwa na mtu tu basi lakini anakuwa hampendi anampenda mwingine?..., hayo ni mawazo tu na hii niliiona kwa rafiki yangu, anampenda sn mkewe ila mwenzie anapojisikia ndiyo hata kumpigia cm ndiyo anafanya hivyo na si kwa kimahaba km watu wengine wanavyopendana nini sasa hapa kinachosababisha maisha haya???.
Upendo unatokea naturally huwezi kusema leo nampenda julius kisa ananipenda, labda afanye vitu vinavyogusa moyo wako!!!!!!!!!! kidogo kidogo unampenda na hiyo ni kwenu wadada ila kwa wanaume atakutamaani first day na kukupenda hapo hapo akisha piga mambo either upendo utaongezeka or kupungua na pengine kusoma zero balance!mpende anayekupenda asiyekupenda achana naye. kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport
Upendo unatokea naturally huwezi kusema leo nampenda julius kisa ananipenda, labda afanye vitu vinavyogusa moyo wako!!!!!!!!!! kidogo kidogo unampenda na hiyo ni kwenu wadada ila kwa wanaume atakutamaani first day na kukupenda hapo hapo akisha piga mambo either upendo utaongezeka or kupungua na pengine kusoma zero balance!
kwa hiyo sisi kukutamani ni first step, tukisha do ndio decision ya moyo inachukua nafasi!!![/QUOTE
Nakubaliana na ww kiasi fulani.
gonga like basi!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sio lazima kila unapopenda na wewe upendwe kiasi kile kile,,ikikutokea ujue ngekewa
^^
[/B]
Na isipokutokea ujue gundu
Tafuta au tengeneza mazingira ya kupendana na mwenzako, unaweza ukapendwa na mtu humpendi and vice versa..