Mpenzi Natasha!!

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,734
Reaction score
1,010



Nikisomaga hii huwa nakumbuka Kosa moja na mimi nilishawahi kulifanya.....sintasahau..
 
hizo ndo enzi ambazo hazikuwa na cm wala netcafe.
 
Umesahau kuambatanisha noti ya shilingi 20/
uliyoiba kwa dingi...
 
Kuna siku niliandika kijibarua cha ma lovey dovey kwa mpenzi wangu,kabla sijamkabidhi,ikadondoka kwa bahati mbaya class.Kama coincidence vile,aliyeiokota alikuwa yule yule mpenzi wangu.Dah,demu wangu wa kwanza,watu walishamzalisha halafu wakamtelekeza.
 
Ulisahau kumwambia hv. Tafadhar usipoipata hii barua naomba unijulishe.
 
halafu mwanzo unaanza hiv.."kwako mpenzi,natumaini u mzima waafya"..michoro ya kopa na maua havikosekani!
 
Unamwambia kula sili nikikuwaza wewe ulie mbali nami.(Kumbe unabugia msosi kiroho mbaya)
 
au unamwambia 'nakupenda kama sinia la pilau'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…