u gotta love JF!!!,ina kila aina ya watu, ina warefu na wafupi, wembamba na wanene, wenye akili na CHADEMA, pamoja na wachekeshaji kama ma jery....kiukweli umenifurahisha sana.........u've made ma day
......Ukiiweka vizuri hii story yako Shigongo anaweza kukupa hela, pia nilichokisoma kutoka kwako ni kwamba ulizimika na mashauzi ya jamaa kuwa anafanya kazi UNHCR na kwao wana ''chapaa chafu''. Wewe ni mfano halisi wa wanawake wengi wa Kibongo japokuwa sio wote. Hiyo iwe fundisho kwako dada angu next time utakutana na majini na ndio utakuwa mwisho wa tama zako. Mungu bado anakupenda sana na ana malengo mazuri juu ya maisha yako. Badilisha tabia yako ya kujilaisisha kwa wanaume wa mitandaoni.