Mpenzi msaliti...

Mpenzi msaliti...

Mams Hk

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
6
Reaction score
2
Umemfumania mpenzi wako na mpenzi wake mwingine akakudhalilisha sana kwa matusi na maneno ya kejeli, ukaumia sana. Baada ya muda kupita anakuja kukuomba msamaha

Je, utamsamehe?
 
Yaani wew ni mwanamke na umemfumania mwanaume na bado akakutusi wewe mbele ya huyo mwanamke.

Na amekuja kukuomba msamaha, ujue hana lolote zaid ya kutaka kukufunua tena.

Hakuna mapenz hapo , ametaman tu tena K yako na kwakuwa anajua una mpenda anahisi utamsamehe na game atapiga.

Na ww acha kukaa kisoro soro, tafuta mwanamme wako utulie, pengine uko idle akaona anaweza kukupata tena.
 
Sema umemkuta sio umemfumania,kumfumania ni mpaka uwe na cheti cha ndoa.
 
Umenikumbusha Upuuzi wa WaZiri wetu.

Eti kaitisha kikao kukataza fumanizi.Kweli kabisa,waziri kaona hii ndo taarifa ya level ya kiuwaZiri na yeye ndo aitangaze

Ila bongo tuna changamoto nyingi.
 
Kumfumania tu kawaida msamehe, ila hiyo hadi ya kutukanwa mbele ya mtu....aaagrrr kmmaee zake, endelea na maisha yako, au haujawahi kukutana na mtu mtamu zaidi yake?
 
Back
Top Bottom