Mpenzi! Leo mi sijisikii....

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,816
Haya si makusudi jamani, sipo nyumbani wiki nzima, nikija nakaa siku 2 naondoka kazini, nakupigia simu unaniambia njoo nimekumiss kweli Baby, tukifika chumbani unaanza mashairi, kwani huwezi kulala hivihivi "mie leo hata sijisikii kabisa kha!
 
ukiona manyoya jua kaisha liwaaaaaaaaaaaaaaaaa, yupo mkoa gani kama ni DAR andika maumivu wananaume wa dar kupigana hawawez ila kuchezea vi.......................si....................... mwa vya wake za watu ndo zao.
 
Dadaekiiiiiii, aniambie mi hajisikii walahii hata kwa buldoza atatoa tu
 
Kumbe inanitokea mimi tu,Aisee nawaahidi wana J.F wenzangu sitawaangusha subiri mrejesho wiki ijayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…