Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,756
Wewe baada yakukupiga goal 3-2 ukapoteaKaribu pm kwa ushauri zaidi
Habarini waungwana,hivi mpenzi ambaye hata kwenye uchumba hamjafikia bado kukupa majukumu ya mke yani ukienda umfulie umpikie umsafishie na nyumba hivi ni sahihi kwa mwanamke kufanya hayo maana kuna jirani yangu hapa yeye yupo na msichana ni wapenzi tu lakini kambebesha majukumu hayo na mbaya zaid binti wa watu atafua jion wanakuja kulalia wengine na saa nyingine huyo kijana atampigia simu kwa kufoka yani kana kwamba ni lazima,eti waungwana ni sahihi kuyafanya hayo kwa mpenzi
Hahahaaaa mkuu nipo by the way hongera kwa ushindiWewe baada yakukupiga goal 3-2 ukapotea
Kama jamiii kuna sehemu ipo shida saana kuanzia kwenye makuzi yetu.Mambo mengi tunafanyiana kabla ya ndoa sio majukumu yetu.
»Kufanya ngono, sio majukumu yetu, hadi pale sheikh, askofu, padre, mchungaji au serikali itakapohalalisha.
»Mdada kufanya house chores kwa mpenzi wake sio sahihi kabla hawajaoana.
» Kupeana matunzo ya kifedha sio sahihi hadi muoane, wazazi wanafanya nini hadi umtunze binti yao kabla hujamuoa.
»Kusomesha mchumba sio jukumu lako.
...na mengine mengi tu.