Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Kwa hiyo wewe unataka uwe unapigwa kamoja per month?!........basi tafuta mwanaume wa Dar my dear!
Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Pamoja jose..nasemea ulivyoandika bes badala ya best...uliisahau
Mi nataka atakayeendana na kasi ya rais weti Hapa kazi tu kamoja mwisho Kibaha
Nitafutie rafiki yako mwenye chura halafu msaksie kwangu please!unataka ukavumbue nini rafiki
Single fatherKutokana Na masaibu ya maisha nilichelewa kuoa mke mwema
Ila nimebahatika kupata zawadi ya mtoto wa kike mwenye miaka 2 Na nusu
Mama yake tumeshindana tabia kutokana Na mienendo yake isiyo mizuri
Mtoto atakaa Na mamaye ila Mimi nitakuwa natoa matunzo
Nakaribisha kila mwanamke mwenye mapenzi mema upendo wa kweli ucha mungu Na unyenyekevu
Umri 18-40 Mimi ni 31
Naomba mwenye nia njema anitumie sms pm
Pia nitatoa Maelezo ikibidi kwa mwenye nia
Asanteni sana
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Ndio kaka
Mimi kwenye papuchi hunitoi!.....nikimkamata mwanamke huwa simwachii ng'ooo hadi akojoe!chura ninae shogaa ila huyu jamaa simtaki kabisa kanapenda ngono sana kanaonesha
fresh brother TPamoja jose..
Nisha-edit
Au siyoo!???
We jamaaMimi kwenye papuchi hunitoi!.....nikimkamata mwanamke huwa simwachii ng'ooo hadi akojoe!
Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Hapana ya pm yanabaki pmHahahaaa baadae ulete mrejesho wa pm
Hahaha! Fursa hiyongoja nitafakari
Unaanza upya???Afadhali jamani fursa hii tutavumiliana huko huko
Uvumilivu ukikuishia ujue Mungu hayupo upande wako tena..!naombeni ushauri nimchukue huyu jamaa au?
nishakuomba mkuu ukae mbali na mimi? kwani lazima unijibu sitaki nakuomba kwa heshima.Uvumilivu ukikuishia ujue Mungu hayupo upande wako tena..!