Mpenzi kanipokonyoka!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,338
Wiki 2 zilizopita katika mihangaiko yangu ya kufukuzia shilingi,nilikutana Na dada mmoja hivi Wa kinyaturu,in short very amazing!
Katika mazingira niliyokuwepo ya kijijini shamba nikahitaji kurudi town lodge niliyofikia.
Aisee usafiri pande hizo ngumu sana ikabidi nisubiri bodaboda za kuotea!
Mara hamadi! Nikaona pikipiki kwa mbali ikija kwa kasi nikapumua kwa ahueni ya kusubiri kwa nusu saa barabarani!

Ilipokaribia nikaipiga mkono du kumbe ana abiria! Kutazama vizuri binti laini Wa kinyaturu! Bado mbichi yaani kama amepitiwa Mara 10 tu.

Boda akadai pande zile kubeba mshikaki kawaida tu! Basi nikajitoma nyuma ya mtoto,ndukiii!

Njiani nikazungusha mikono taratibu nyuma ya uno la mrembo! Nikajua atamaindi noo! Binti katulia tu mithili ya kunyolewa!

Kwenye mabonde nikawa nafanya ka kumtekenya hivi daaa! Mtoto anaanza hema kwa kasi!!ohooo!

Taratiibu nikasogeza midomo usawa Wa sikio ka nataka mnong'oneza kitu, nikamwambia "wee mzuri,unanukia poa ujue' akatabasamu! Nikaongeza mumeo ana bahati! Nani kakwambia Nina mume mie'akajibu.

Kilichofuatia nikampa mtongozo hevi hadi mwisho Wa safari nikawa Na namba yake! Nikalipa nauli ya wote ila nikamwacha anaendelea Na safari!

Juzi alinipromisi anakuja Leo ghetto toka asubuhi nimekaa najiandaa kwa gemu hapa lodge!
Kilichotokea saa moja lililopita kanitumia sms eti simba wako uwanjani kwake Leo wanacheza!!
Eti au aje hivyo hivyo ila kugegeda no hadi apone!

Nimetahamaki!
 
hii stori au
 
ukimuuliza ni baada ya siku ngapi anasemaje..kama ni zaidi ya siku 3 ndio basi tena mpaka siku nyingine
Ngoja nimuulize ila hata akisema siku nne nitanyafigisu figisu ili zinikute hapa,mzigo huu si Wa kuukosa!
 
Mshukuru Mungu kakuepusha na dhambi ya uzinzi,
 
Sasa simba si wapo nyumbani Leo hawawezi kuja ugenini | ghettoni kwako | cha kufanya vumilia hadi siku wewe ukienda nyumbani kwake | ugenini |
 
Sasa simba si wapo nyumbani Leo hawawezi kuja ugenini | ghettoni kwako | cha kufanya vumilia hadi siku wewe ukienda nyumbani kwake | ugenini |
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
Huyo mtoto sio mara 10 kama ulivyosema huyo ni porn star..heheheeheeh angalia usije toka uko imenyooka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…