Mpenzi hataki tupime

Ashakufirigisa wee bila ndomu leo ndiyo unakuja kuomba ushauri, nenda kamalizie kuubeba uliouacha.
 
Chaaa Ndugu yangu Umesharuka sarakasi kwenye Transformer aroooo
 
Siku nyingine usiombe ushaurinkm huo wakati unajua tayar mshakanyagana kavu ....endelea tuu maana km ameungua hamna hamna ..sonibora usipe presha .
 
Kwa hiyo anakugegeda bila kinga na wewe upo tu? Nadhani ukapimwe wewe kwanza....ukimwi, mkojo na stool. Ukishapata majibu, mletee ayaone na inaweza kumconvice na yeye akapime, depending na majibu yako.
Huyu nimwanamke ambaye huwa napenda Kuwaita waongeza idadi.
 
Mh!..mi nilidhan hujampa bado...kumbe anaendelea kuhondomola tu...wala haendi kupima huyo...si ushampa
Yaaan namm nmekuja spidi ,,kusoma tayar keshaliwa alafu sasa ndo anataka kujipa presha ,,uo uchizi ..otherwise twaweza mshaur aachane naye alafu baada yamiezi miwili akamrudia huku akilia """ kwann umeniua ?? "
 
Dah, Nimeumia tena Sana, kwanini Watu wanakua hivi?? Kuna binti mmoja mzuri Sana sana but yuko Positive, analala na Wanaume balaa, very very sad, Asubuhi hii Nimeongea na jamaa mmoja akisema kuwa amelala nae kwa week nzima na hawajatumia kondom!! Nikamuuliza, unamjua Huyu binti?? Aaaghhh Nimeumia Sana maana Mimi niliona majibu yake huyo binti kwa macho yangu. Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kupima ili iweje, kumuamini tu inatosha hata mi nsingekubali...
Ukijua kinachoua watu ni hofu ya kufa wakikutwa + huwezi shobokea kupima!
 

Sasa si ukapime mwenyewe kumbe ameshakula bila maganda [emoji23]
 
Ukiupata ninachokushauri usije kusema Ulikuwa mpofu wa penzi ukawa huoni Wala husikii,nina kushauri jiandae kisaikolojia
 
Mwanaume uwa hapimi,acha hizo wewe,kama humjamini achana nae kwani yupo peke ake?

Akili za usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…