Mpenzi hataki tupime

Kama msha sex basi tatizo sio yeye.

Tatizo ni wewe.

Unamtafutia tu sababu.
 
mambo mengine raha sAna

mmefahamiana sio muda mrefu, usha mpa utamu peku alafu unamtaka mkapime duuu

mwanaume kupima huwa ni shughuli pevu
 
bora tu ungekaa kimya, mkuyenge ushachezea kwa hiari yako mwenyewe, sasa si ukapime mwenyewe si ndo una shida ya majibu?
 
Kwakuwa mmeanza kabla ya kupima endeleeni hivyo hakuna haja ya kupima wakati utawapima nyote ukifika subilini
 
Inamaana wewe tangu umezaliwa haujawah kusex na mtu hamjapima??? Any way inawezekana kweli nikawa punguani...asante
Nitasex nae vipi kavu kavu alafu baadae ndio nimuombe tukapime!? Tupime nini sasa wakati kilichotakiwa tukifanye baada ya kupima tueshakifanya kabla ya'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana wewe tangu umezaliwa haujawah kusex na mtu hamjapima??? Any way inawezekana kweli nikawa punguani...asante
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Nimefanya nae Mara 1 tu na aliniandaa vya kutosha na sex yenyewe nadhan haikuchukua hata dakika 2
Tehe tehe tehe tehe
Unafikiri sisi ni watoto wadogo?
Just admit kwamba uliliwa, na uliliwa bila kinga, hayo mambo ya dakika 2 ni uongo, we umeliwa dakika 20 afu utuletee udwanzi
Hukumpa Tigooooo??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…