Polen na majukum
Ninampenz tuna mda sio mrefu tangu tumefahamiana.... Ajabu kila nikimwambia tukapime ukimwi ananipa excuse kibao...Na tunasex tena bila kinga haoni kama ni tatizo...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Be Joseverest to apply
Mimi naona hii ni taarifa tu kaamua kutupatia.Sasa maimatha unataka kupima kitu gani wakati dry mshakwenda!!