Kiukweli nami nampenda sana na sijui nifanyeje kwa kweli. Wana Jamii forums najua kuna watu wana busara na hekima zao humu ambao wana uwezo wa kutoa kitu kitakachonisaidia mimi na wengine juu ya hili.
Nawasilisha.
mzee wa_ngada
Sijasema siwezi ishi bila yeye mkuu cause mpaka hapa nilipofika nimefika mwenyewe. Na kwa kulijua hilo ndo maana nimeleta mada sehemu sahihi kupata ushauri kutoka kwenu.
Ilishantokeaga miaka 4 iliyopita nikiwa ndo naanza kazi. Demu angu aliaga kuwa nataka kwenda Kisoma akawa anaishi kwa dada yake,alianza kubadilika taratibu baada ya miezi 4 nikimpigia nakuta simu yake inatumika zaidi ya nusu saa na nikipiga hapokei na akitaka kupokea ananiambia nilikuwa naongea na mwanafunzi mwenzangu.
Naamaanisha wanawake hawana guarantee hasa mkiwa mbali.. Tafakari chukua hatua.