Kama una mpenzi wako ambaye kila siku za outing anachelewa saloon mfano mmealikwa kwenye harusi yeye saa mbiliw bado hajarudi nyumbani kujiandaa,unafanyaje? Mnaahirisha kwenda au unaweza kwenda alone? Mpenzi mwenyewe ni mke
ub
Unamsaidia kupanga muda, aende saluni asubuhi kama saa moja kamili.
Na pia ukimuacha mara 2 hawezi rudia tena, tena wala usimpigie simu, muda ukifika unasepa.
Sio wanawake tu hata wanaume wana hizi tabia. Especially kama harusi ni ya ndugu wa mkewe. Anajicheleweshaa. Paw wangu ananijua ikifika saa moja hajafika anaisoma namba! Jipangie muda manake utajidisappoint! Muambie ikifika saa fulani utakuja alone. K
Kama una mpenzi wako ambaye kila siku za outing anachelewa saloon mfano mmealikwa kwenye harusi yeye saa mbiliw bado hajarudi nyumbani kujiandaa,unafanyaje? Mnaahirisha kwenda au unaweza kwenda alone? Mpenzi mwenyewe ni mke
ub
Usiumize kichwa hili tatizo lipo kwa wanawake karibu wote. Cha kufanya kama safari ni saa saba mwambie tunatoka saa tano basi atajichelewesha lakini mtaenda kwa wakati.