Wadau mpenzi wangu anataka nisinyoe maeneo kisa kazi yangu ni ya kusafirsafiri ana wasiwasi nita cheat,nimevumilia sasa naona nywele zimekuwa nyingi mpaka imekuwa kero,msaada jamani nimwambie nini ili anielewe kuwa mimi namheshimu kwani kila nikimwambia nipunguze hata kidogo hataki!
Kwanini usiliambie hilo buzi lako kuwa jamaa hataki unyoe?
Kwanini unyoe wakati umekatazwa?
Awali ya yote wewe ni breed gani? Ishu ya kunyoa ni ya kufanyia kikao na matangazo? Huu uzi wenyewe umeshanipa picha wewe ni m2 wa aina gani. Nyoa hayo madude na upige kimya Kwani unafanyiwa ukaguzi wa usafi? hapa nafikiri mambo ya msingi na O level yanahusika sana. Vinginevyo huyo anayekukataza labda anataka akusuke mabutuWadau mpenzi wangu anataka nisinyoe maeneo kisa kazi yangu ni ya kusafirsafiri ana wasiwasi nita cheat,nimevumilia sasa naona nywele zimekuwa nyingi mpaka imekuwa kero,msaada jamani nimwambie nini ili anielewe kuwa mimi namheshimu kwani kila nikimwambia nipunguze hata kidogo hataki!