aisee mwache huyo dada atapata shida....unamuoa wewe au wazazi??....
Kuna wakati sipendi unakutana na mtu ukubwani halafu anataka kukubadilisha.
kuna vitu ni vya ku compromise tu.
Unaamin mm na yy tutakuwa na maisha gani ikiwa wazazi wangu watamchukulia tafauti na alivyo?
Usije dhan nafanya mambo kwa matakwa ya wazazi, mm binafs sipendi avae pete kwenye vidole vya miguuni, and am sure hata home wakimuona hvyo, they will put a question mark, maana sio kawaida.
Nawaheshimu wazaz wangu, n naheshimu mawazo yao, japo si ruhusu wani dictate kuhusu nani wa kuoa, nani si wa kuoa. Lets stick to what i askes for, a better way of telling her kuwa sitaku kuona hizo pete. Hii ni kabla sijaamua kumuacha. Something of which i know i can do anytime i decide to do soo. Kikubwa kinachonifanya nichelewwe kumuacha, ni ahadi nilojiwekea ya kutulia na huyu binti. And this was aftwr me n her went for HIV check ups, baada ya wote kuwa Negative, sikuona haja sana ya kuanza kuruka ruka, ndio maana nikaja omba Ushauri, kwa kudhan kuwa labda mm ndio nashindwa zungumza nae kiufasahaa.
hasa vile ambavyo wakati anakufata aliviona wazi.....
wewe unamjua na unajua si malaya wala hana tabia yoyote inayohusishwa na hizo pete......kung'ang'ania avue ni kwasababu unajali mawazo ya wengine...kwasababu ingekuwa vinakutatiza kiasi hicho usingemfata ukamtongoza ilhali alikuwa navyo tangu siku ya kwanza na uliviona.....
Nimekuelewa, Unanishaurije for that Case?
nisukumie pande hilo mi ndo nawataka hao we wabara nini,vipi hana cheni kiunoni?kama vipi tuexchange nikupe wa kwangu hata heleni havaiWakuu, Heshima kwenu, moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu.
Nina Mpenzi, tumekuwa pamoja for a while now, ila nagombana nae kitu kimoja tu, kila siku. Anapenda sana kuvaa pete kidole cha pili baada ya dole gumba, tena miguu yote miwili, nishamsihii sana, azivue lakini, husema nitavua, lakin hazivui, tukakubaliana, asije kwetu mpaka azivue, lakini keshakuja twice na hajazivua.
Kiufupi, mimi sipendi avae pete mguuni, naoana kama ni Ushangingi, naona kama nikimezea, kuna siku nitamkuta na vikuku, ni vitu vya kawaida kwa wengine, lakini kwangu vinanikera mno.
Sasa jaman, nifanyeje? Naombeni Muongozo maana, nakuwa simuelewi, namuuliza sabau ya kuzivaa, hanipi jibu la maana, au alivishwa na x wake nn? Sasa anaziacha kama ukumbusho? Au ni nini? Mi sielewi, nachoelewa nakereka na hii hali na nataka iishe. Nifanye nini?
Thanking you in Advance.
Nimeipenda hii. What kills a frog is its inability to decide when to jump out...Put a frog in a vessel of water and start heating the water.
As the temperature of the water rises, the frog is able to adjust its body temperature accordingly.
The frog keeps on adjusting with increase in temperature...
Just when the water is about to reach boiling point, the frog is not able to adjust anymore...
At that point the frog decides to jump out...
The frog tries to jump but is unable to do so, because it has lost all its strength in adjusting with the rising water temperature...
Very soon the frog dies.
What killed the frog?
Many of us would say the boiling water...
But the truth is what killed the frog was its own inability to decide when it had to jump out.
We all need to adjust with people and situations, but we need to be sure when we need to adjust and when we need to confront/face.
There are times when we need to face the situation and take the appropriate action...
If we allow people to exploit us physically, mentally, emotionally or financially, they will continue to do so...
We have to decide when to jump.
Let us jump while we still have the strength.
Think on It !!
Kuna kipindi nilizimika kwa binti mmoja hivi..baada ya mda nikagundua ana bonge la 'chata' mkononi, karibu na bega..niliondoka kimyakimya..!!
Nimeipenda hii. What kills a frog is its inability to decide when to jump out...
Ulikimbia nini ndugu??
Wakuu, Heshima kwenu, moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu.
Nina Mpenzi, tumekuwa pamoja for a while now, ila nagombana nae kitu kimoja tu, kila siku. Anapenda sana kuvaa pete kidole cha pili baada ya dole gumba, tena miguu yote miwili, nishamsihii sana, azivue lakini, husema nitavua, lakin hazivui, tukakubaliana, asije kwetu mpaka azivue, lakini keshakuja twice na hajazivua.
Kiufupi, mimi sipendi avae pete mguuni, naoana kama ni Ushangingi, naona kama nikimezea, kuna siku nitamkuta na vikuku, ni vitu vya kawaida kwa wengine, lakini kwangu vinanikera mno.
Sasa jaman, nifanyeje? Naombeni Muongozo maana, nakuwa simuelewi, namuuliza sabau ya kuzivaa, hanipi jibu la maana, au alivishwa na x wake nn? Sasa anaziacha kama ukumbusho? Au ni nini? Mi sielewi, nachoelewa nakereka na hii hali na nataka iishe. Nifanye nini?
Thanking you in Advance.
Mimi nakushauri umchunie km wiki mbili,kama kweli anakupenda atazivua na atahangaika kukutafuta ila ukiona kimya jua huyo ni mkaidi hatakuja kukusikiliza kamwe.
Kuna kipindi nilizimika kwa binti mmoja hivi..baada ya mda nikagundua ana bonge la 'chata' mkononi, karibu na bega..niliondoka kimyakimya..!!
Mweh sasa chata lilikuwa kwake kwan lingehamia kwako?
Nikatambulishe mtu aliyechora nge kwa wazazi wangu?
Over my dead body!!!