Wakuu, Heshima kwenu, moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu.
Nina Mpenzi, tumekuwa pamoja for a while now, ila nagombana nae kitu kimoja tu, kila siku. Anapenda sana kuvaa pete kidole cha pili baada ya dole gumba, tena miguu yote miwili, nishamsihii sana, azivue lakini, husema nitavua, lakin hazivui, tukakubaliana, asije kwetu mpaka azivue, lakini keshakuja twice na hajazivua.
Kiufupi, mimi sipendi avae pete mguuni, naoana kama ni Ushangingi, naona kama nikimezea, kuna siku nitamkuta na vikuku, ni vitu vya kawaida kwa wengine, lakini kwangu vinanikera mno.
Sasa jaman, nifanyeje? Naombeni Muongozo maana, nakuwa simuelewi, namuuliza sabau ya kuzivaa, hanipi jibu la maana, au alivishwa na x wake nn? Sasa anaziacha kama ukumbusho? Au ni nini? Mi sielewi, nachoelewa nakereka na hii hali na nataka iishe. Nifanye nini?
Thanking you in Advance.