Mpenzi ana ugomvi hauishi

Mpenzi ana ugomvi hauishi

Joined
Aug 28, 2015
Posts
37
Reaction score
12
Jamani jamaa yangu ameniomba ushauri mpenzi wake hajisikii kukaa siku 1 bila kugombana.

Nimpe ushauri gani?
 
Kuna watu wapo hivo bila kugombana hawa enjoy
jamaa yako (sijui huyo jamaa yako ni wewe mwenyewe au vipi) aangalie tu namna ya kuendana na huyo mbebs
wagombane, akae kimya kuepusha ugomvi au awaachie mabondia
 
jaman jamaa ang ameniomba ushaur mpenz hajickii kukaa siku 1 bila kugombana, nimpe ushauri gan

Jamaa kakuamini kakuomba ushauri nawe hujiamini unaleta huku kwa watu usiowafahamu akijua utajisikiaje? Kibingwa Sema tu ni wewe mwenyewe
 
Mwambie kama bebi yake anapenda ugomvi kiasi hicho, nae ajifunze kuinitiate ugomvi kwa kumtafutia visababu visivyo na msingi ili wagombane kila inapotokea fursa ili waende sawa. Mfano anaweza kujipangia ratiba ya kulianzisha kila baada ya breakfast kila siku kwa sababu yoyote tu kama vile kumuuliza bebi wake kwanini anatabasamu, au kwanini amepika chai nyingi n.k , Mbebs ataenjoy mpaka atakinai ugomvi.
 
hao wanaonekana ni wapinzani wa jadi huyo demu ccm huyo jamaa ukawa

au simba na yanga ndio maana hawapatani

au huyo mmoja ana nyota ya simba mwengine ana nyota ya swala
 
Huyo mwanamke ana stress kwa sababu jamaa yako hamkuni anavyotaka/anavyopenda na jamaa yako haelekezeki hata akiambiwa au hataki kujirekebisha. Kutokana na hilo, huyo mwanamke anakereka kuwa katika huo uhusiano na hana namna ya kujitoa.
Kingine inaweza kuwa jamaa yako hajatulia na hashauriki na mwanamke amemchoka.
Pia inawezekana jamaa hajijali na ana tabia za kindezi halafu hataki kubadilika na inamfanya mwanamke amchoke kupita kiasi.
Mweleze haya huyo jamaa yako kama ni yeye kweli au kama ni wewe.
 
Kuna mwanamke alikua ana mambo kama hayo,utakuta ananiita fresh kimahaba kufika huko lazma aanzishe au akumbushie ugomvi wa zamani au achukue simu atafute sababu yoyote ile nilikua navumilia mpaka nareact basi nikireact anatulia anauhifadhi mpaka tukikutana tena akubushie kwann nilireact vile
 
Back
Top Bottom