Mpenz wangu anatafuta mahusiano toka nnje

willeteo

Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
44
Reaction score
15
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!
 
Pole

Hatari sana fb Mkuu lakini huko ulifuata nini ?
Kula maisha na mpenzi wako acha woga
jiamini tukuamini !!!!!
 
Usihofu sana, mahusiano ya mitandaoni kama watu hawajuani nje ya mtandao huwa hayaendi mbali sana, ingekuwa watu hao anawajua nje ya mitandao hapo ingekuwa noma, huenda hao watu ni wanawake wenzake wanataka kumtapeli tu, pia wadada siku hizi hupenda kuwa bize kwenye mitandao ya kijamii na hii hupelekea wao kuomba marafiki ili wamnfanye awe bize. Hawa watu (wanawake) tuishi nao kwa akili sana.
 
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!

Ukiwa unakitafuta kitu ukikipata utachukia au utafurahi?

Unaweza kuwa hujanielewa,nakupa tena mfano mwingine

Ukijua ndani mwako kuna nyoka utaenda kuuliza watu umfanye nini?

Halafu huwa nikijua mwanamke yupo FB huwa nastuka kidogo
Sijui kwanini!
 
Mbona hayo ni maisha ya kawaida tu bwana kwani kuna tatizo gani kama watafanikiwa watakunja kisha wakuachie mzigo wako hapo kama demu akidatishwa akakutosa nawewe utaibua mwingine mbele wala usiwe na presha dunia ndio imefikia hapo inatakiwa kukubali tu matokeo
 
If ke humuamini, jiepushe na upekuzi upekuzi utaumia bureeeeee!
Jiamini tu!
Hakikisha unatimiza wajibu wako kwake!
Akisaliti tafuta wengine! Wapo kibwena!
 
kinachotakiwa ni kujielewa yy mwanamke nn anafanya hasa kuzingatia ana mpenz ww,,so ikiwa hili hajielewa kuna hatar ya kukuacha,,maana hawa wanawke usiwaamin saana,,mapenz yao yapo mikononi tu,,tamaa kibaaoooo,
 
If ke humuamini, jiepushe na upekuzi upekuzi utaumia bureeeeee!
Jiamini tu!
Hakikisha unatimiza wajibu wako kwake!
Akisaliti tafuta wengine! Wapo kibwena!

Thenx,but c kuwa n mpekuz,alinpa pacwed yake but ckuwahi kuingia .juz ndo nkajroga kuyakuta hayo
 
Mimi huwa naita un neccesry conflict...ivi kwni mwanamke lazima kuwa na rafiki ambaye mko close sana....huku una mchum,ba wako au mume wako....HUYO atakuwa ni mwanamke ambae hana akili na ushamba kidogo.....hata kwenye ndoa atakuzingua badala ya kukaa mdiscuss mstakabali wa maisha yeye atakuwa anaangaika na facebook...
 
Ukiwa unakitafuta kitu ukikipata utachukia au utafurahi?

Unaweza kuwa hujanielewa,nakupa tena mfano mwingine

Ukijua ndani mwako kuna nyoka utaenda kuuliza watu umfanye nini?

Halafu huwa nikijua mwanamke yupo FB huwa nastuka kidogo
Sijui kwanini!

Ukijua yupo JF, unajisikiaje?
 
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!

Mkuu acha kufuatilia sana haya mambo ya kwenye social Network kama ni mwizi utakuja kumjua tu taratibu.
 
^^
willeteo
Najua inaumiza sana
Dalili ya mvua ni mawingu ila kuna wakati mawingu huyeyuka na mvua isinyenyeshe.
MPE MUDA..KAMA NI TABIA YAKE UTAMJUA TU
^^
 
Last edited by a moderator:
kama haaminiki ni vigumu kumwamini pia, jaribu kurudi down akionyesha kujali mweleze ukweli na hapo utagundua kama yuko tayari kwako ama anapenda wa kwenye fb
 
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.Plz help me by tellng me somthng about it!

Hili taifa sijuwi litakuja kuwa la aina gani! Vijana wetu mnatuangusha sana.
 
Angalau afadhali!

Nadhani social networks zote zinahusika...
Iwe JF, FB na nyinginezo! Mwisho wa siku ni mtu kujiheshimu na kuheshimu hisia za mwenzake!
 
Umenikumbusha mwenyewe wangu akiingia humu nadhani nitaachika kwa mambo yaliomo ni kurefresh mind wazungu wanasema bt hakuna lolote!
 
hebu jiamini timiza wajibu wako,, hayo mengine ni ku refresh mind tu.
 
Back
Top Bottom