Mpenz wangu anatafuta mahusiano toka nnje

Bora wa kwako ana marafiki wa mbali anaochat nao.
Mie wa kwangu alikuwa anachat na watu waliopo hapahapa TZ. Kuitana sweety,mpenzi,darling na hao watu ilikuwa ni kawaida kwake, ukimuuliza anakwambia anakwambia ni maneno ya kawaida.
Ila kuna siku nkakuta njemba imemtumia msg ya kumpongeza kwa kumkatia mauno vuzuri kunako 6*6.
So ndugu yangu anza kuangalia chanel nyingine mapema. Hiyo ni dalili ya kukuchoka.
 
mwanamke wa hivyo hana manners na haheshimu uhusiano wenu.
 
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!

Maandishi vifupisho vimekuwa vingi au ndiyo facebook style hiyo?
 
Mkuu acha woga huo, mara nyingi ukiwa umefanya kazi umechoka kuna vitu unaweza kuvifanya kuondoa stresses, moja ya vitu hivyo ni kuchat na watu mbali mbali na kutaniana nafikiri hata wewe unafanya wakati mwingine. Ila cha msingi ni kutokuwa addicted sanaaaa mpaka ukawa mlevi kabisa wa kuchat.
 
Bora wa kwako ana marafiki wa mbali anaochat nao.
Mie wa kwangu alikuwa anachat na watu waliopo hapahapa TZ. Kuitana sweety,mpenzi,darling na hao watu ilikuwa ni kawaida kwake, ukimuuliza anakwambia anakwambia ni maneno ya kawaida.
Ila kuna siku nkakuta njemba imemtumia msg ya kumpongeza kwa kumkatia mauno vuzuri kunako 6*6.
So ndugu yangu anza kuangalia chanel nyingine mapema. Hiyo ni dalili ya kukuchoka.

Braza pole sana,hawa wanawake tuwaonage tu mabarabaran na vipedo vyao,n hatar sana hao
 
sister huyo hayuko siriaz, kama anataka maisha ya ndoa nawe aachane na mambo hayo. ukiona hawezi ujue bado anahitaji muda to play around
 
shutuka wewe kuku wako ananyonyolewa manyoya taratibu ukichelewa utakuta tayari ashabanikwa !!!!!
 
Tanzania tupo zaidi ya 50 million,Move on tafuta mwingine ambae uta muamini wewe,,,,Lakin tambua Dunia ilipo sasa Kumegewa,au mwezako kupigwa swagga ni jambo la kawaida
 
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!

Unapaswa kulihofia penzi lako maana hao ni wa fb...vipi kuhusu wa mtaani? halafu ina maana gani kuwasiliana na watu mpaka kufikia stage ya kuanza kuitana sweety? tabia hiyo aiache mara 1 na siyo vizuri...akiendelea utampoteza am sure ( my experience) halafu yapaswa utambue sisi ni waafrika hatunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume nakwambia hivyo coz kipindi nilipokuwa player nikikosaga zabibu wale ambao walikuwa karibu yangu nilikuwa nawadonoa sikuhitaji hata kuwatongoza...wanakuwaga na huruma sana!!! hivyo ilikuwa rahisi sana kujilia pweza wangu gizani...
 
Thenx braza
 
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!

Nimeambulia patupu. Ngoja nikale kwanza labda nitaelewa,
 
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!

Huyo hajawa tayari vuta subira amalizane na mababy wake kwanza maana akiingia kwako na mabeby wake utamu Ufoo Saro bure
 
Ulikuwa unatafta nn hko! Naulichokuwa unakitafta umekipata na maumivu juu, bt anywy huwezi kumzuia mpenz wko wa kike kutongozwa au kupendwa na watu wengne ila ww unaweza kujizuia kutongoza, bt anywy jifunze kuzarau ma kupuuza baadhi ya vitu utaenjoy mapenz na ni safe for your health.
 
If ke humuamini, jiepushe na upekuzi upekuzi utaumia bureeeeee!
Jiamini tu!
Hakikisha unatimiza wajibu wako kwake!
Akisaliti tafuta wengine! Wapo kibwena!

Mkuu Mashaxizo, kwani kuna KE wa kuaminiwa??

Hata mwana FA alisema, "usimwamini mwanamke hata kama unamtania..."
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom