wakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika malengo yenu, ila cha ajabu mara ya mwisho kama week tatu zilizopita aliniomba elfu 50, k ukwel nilikuwa sina hela coz nilimwambia sa hv najianda kulipa ada ya masters na nimeshaanza tayar , ndipo demu kaanza kuninunia nikipigia anaongea ktwa dharau, mara sikutak hujawah kunipa lolote nachokuomba ila ukwel nimempa vitu ving mno pesa ndogo kama buku 20 mara kibao nikipata, zawad , na huyu msichana naye yupo chuo moshi mwaka wa 3 na mm ndo nimemtoa sealed kwenye mapenz so nimetoka naye mbali sana cha kushangaza juz kaniambia hanitak tena, mm s mjal, s mpi hela anatafuta mwenye hela na jana usiku kaniambia marufuku nisimpigie simu namwaribia ndoa yake mm naona kama muujiza vile. cha ajabu huyu mpenz wangu kaacha nguo zake geto kwangu, na ana baadhi ya vitu vyangu kama funguo zangu za geto, pia alikuwa akija geto ananiambia nimpige picha za uchi na ninazo kwenye computer yangu mpaka sasa. je huyu kwel atakuwa ananipenda? na je nikikutana na mama yake nitamwambia je? na huyo msichana nikimwambia njoo uchukue nguo zako ananitukana.
wadau naomben ushaur wenu nifanyeje? kwa sasa nina stress sana sana
One for the honeys who roll blunts up but don't smoke
Two for the few who see potential in you when you broke
Kwa hii logic na argument zako inantia shaka hyo mastarz yko, okee n ishu ya hisia bt ndo ushindwe kuzicontrol hd uandike huu -----, nlitegemea kwa elim yko ungekuwa na forecasting huyo n mwanamke gn anayekubal kupiga picha za utupu, ukiwa huna hela no mapenz, aliyekwambia usimcol cz utamwalibia ndoa na cyo argument za funguo, sealed, elfu 20 na picha hpa!
Mimi nakushauri hizo picha za uchi zitume rahatupublogwakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika malengo yenu, ila cha ajabu mara ya mwisho kama week tatu zilizopita aliniomba elfu 50, k ukwel nilikuwa sina hela coz nilimwambia sa hv najianda kulipa ada ya masters na nimeshaanza tayar , ndipo demu kaanza kuninunia nikipigia anaongea ktwa dharau, mara sikutak hujawah kunipa lolote nachokuomba ila ukwel nimempa vitu ving mno pesa ndogo kama buku 20 mara kibao nikipata, zawad , na huyu msichana naye yupo chuo moshi mwaka wa 3 na mm ndo nimemtoa sealed kwenye mapenz so nimetoka naye mbali sana cha kushangaza juz kaniambia hanitak tena, mm s mjal, s mpi hela anatafuta mwenye hela na jana usiku kaniambia marufuku nisimpigie simu namwaribia ndoa yake mm naona kama muujiza vile. cha ajabu huyu mpenz wangu kaacha nguo zake geto kwangu, na ana baadhi ya vitu vyangu kama funguo zangu za geto, pia alikuwa akija geto ananiambia nimpige picha za uchi na ninazo kwenye computer yangu mpaka sasa. je huyu kwel atakuwa ananipenda? na je nikikutana na mama yake nitamwambia je? na huyo msichana nikimwambia njoo uchukue nguo zako ananitukana.
wadau naomben ushaur wenu nifanyeje? kwa sasa nina stress sana sana
Sasa mim nauliza kakuacha kisa huna hela au hujamtumia hela jombaa? principle moja duniani humu ni binadamu haridhiki hata umpe range rover atataka umnunulie na air force one..wewe unatakiwa ujue..hilo..huwezi ridhisha mtu 100% ona sasa vitu vingi umempa na mwisho wa picha amekumimina..principle yangu ni hii manzi simpi hata sh. kumi maadam ni mpenzi waangu mkataba kati ya mim na yeye ni mapenzi tu..habari za ooh sijui tunasaidiana, nitumie shng flani mim sina shida peleka kwenu..etc..angalizo principle hii uwe tayari kuachwa maana mim sinaga muda wa kutoa hela ili nimridhishe ofcz sina kwasababu hata kama ninazo sitoi..pia..naaamin ntampata tu yule nae amini kichwani mwangu sio mizinga oriented... over...fanya kazi mapenzi hayajengi nyumba hayanunui altezza wala nissan x-trail...over....
nguo zake choma......mama yake utamwambia kuwa binti yake mmeachana......picha zake delete....vitasa vya vyumba badilisha......endelea na maisha
Wee si unasoma mastaz? Unasound kama la saba.
Sasa kuwa na picha zake za utupu ndio nini? Unataka kumlipua? Ndio atarudi?
Keshakwambia unamharibia ndoa, afu unatuuliza kama anakupenda, kweli? Atakupendaje afu akumwage?
Grow up!