kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,150
- 16,139
tuungane kumpigia chapuo apewe uenyekiti chadema ameonyesha utofauti ya wenyeviti wote wa upinzani!
Wewe ni kunguni hizo habari za ukanda umeziona wapi uliza pia na katibu mkuu niwa wapi....tatizo mna mawazo mgando, wakati mwingne kuuliza ni ujingaKwani Msigwa ni mtu wa kaskazini? Kazaliwa kilimajaro,Arusha au Manyara? Nauliza tu kujua.Kuuliza si ujinga
CDM HATUONGOZWI NA MATUMBO KAMA MLIVYO HUKO,HUKU TUKO FOR MAJORITY BENEFITS AND NOT MINORITY AS @SWISSWISM..TAKE AWAY UA NONSENSE & NOT TO US.Kwa muda mrefu Rais amepiga kelele kuhimiza maendeleo,na kuwapa majukumu watendaji wa serkiali kusimamia upatikanaji wa madawati na kweli msukumo umepatikana na jambo limeonekana.
Mada kuu nataka kumpongeza Msigwa na Lema kwa ujumla watu hawa wawili wameonyesha upinzani tofauti na fikra tofauti kuwa wao wanaweza kupewa uongozi wa juu na bila kujali itikadi wakashirikiana na serikali na kutokujali mihemko ya kwenye mitandao.
Alianza Lema alipoonyesha hayupo tayari kuona rais aliechaguliwa kihalali akitukanwa na hapendi,tukio la Msigwa limeonyesha si kile akisemacho ndio afanyacho hapana,yeye ameonyesha habari nyingine kuwa suala la maendeleo ya nchi ni suala la wote na linagusa Tanzania nzima,
Wito Msigwa amethubutu wengine wenye kufuata maneno yake tuige!
Tuungane kumpigia chapuo apewe uenyekiti CHADEMA ameonyesha utofauti ya wenyeviti wote wa upinzani!
Nawasilisha mawazo huru!
Maoni hayatapuuzwa yataifadhiwa!CDM HATUONGOZWI NA MATUMBO KAMA MLIVYO HUKO,HUKU TUKO FOR MAJORITY BENEFITS AND NOT MINORITY AS @SWISSWISM..TAKE AWAY UA NONSENSE & NOT TO US.
ukiwa kiongozi unatakiwa ukubali pia mawazo mbadala yanayokosoa maamuzi yako au utendaji wako! lakini ukiona anayekukosoa ni adui ultimately utabadilika kuwa dictator!na upinzani pia hautarajiwi kupinga kila jambo wanatakiwa kukubali baadhi ya positive issues na kuja na mawazo mbadala kwa yale mambo ambayo hayaendi vizuri na yapo mengi tuu!
Mwisho wa wote tunakata maendeleo na kujenga nchi yetu!ukiwa kiongozi unatakiwa ukubali pia mawazo mbadala yanayokosoa maamuzi yako au utendaji wako! lakini ukiona anayekukosoa ni adui ultimately utabadilika kuwa dictator!na upinzani pia hautarajiwi kupinga kila jambo wanatakiwa kukubali baadhi ya positive issues na kuja na mawazo mbadala kwa yale mambo ambayo hayaendi vizuri na yapo mengi tuu!
Ni ushauri tu!Akikusikia mbowe utamueleza kwanini.............
ukawa hua kauli zao hazina tahadhari. wanajibwatukiaga tu wakisahau kuweka akiba. haya sasa sijui atafanya nini kufuta kauli zake zote za nyuma.
Kwa muda mrefu Rais amepiga kelele kuhimiza maendeleo,na kuwapa majukumu watendaji wa serkiali kusimamia upatikanaji wa madawati na kweli msukumo umepatikana na jambo limeonekana.
Mada kuu nataka kumpongeza Msigwa na Lema kwa ujumla watu hawa wawili wameonyesha upinzani tofauti na fikra tofauti kuwa wao wanaweza kupewa uongozi wa juu na bila kujali itikadi wakashirikiana na serikali na kutokujali mihemko ya kwenye mitandao.
Alianza Lema alipoonyesha hayupo tayari kuona rais aliechaguliwa kihalali akitukanwa na hapendi,tukio la Msigwa limeonyesha si kile akisemacho ndio afanyacho hapana,yeye ameonyesha habari nyingine kuwa suala la maendeleo ya nchi ni suala la wote na linagusa Tanzania nzima,
Wito Msigwa amethubutu wengine wenye kufuata maneno yake tuige!
Tuungane kumpigia chapuo apewe uenyekiti CHADEMA ameonyesha utofauti ya wenyeviti wote wa upinzani!
Nawasilisha mawazo huru!
Kwani Msigwa ni mtu wa kaskazini? Kazaliwa kilimajaro,Arusha au Manyara? Nauliza tu kujua.Kuuliza si ujinga
Punguza wasiwasi,kila mmoja unamjua ndani ya chadema?We nani katika chadema