kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,336
- 21,431
Kwa muda mrefu Rais amepiga kelele kuhimiza maendeleo,na kuwapa majukumu watendaji wa serkiali kusimamia upatikanaji wa madawati na kweli msukumo umepatikana na jambo limeonekana.
Mada kuu nataka kumpongeza Msigwa na Lema kwa ujumla watu hawa wawili wameonyesha upinzani tofauti na fikra tofauti kuwa wao wanaweza kupewa uongozi wa juu na bila kujali itikadi wakashirikiana na serikali na kutokujali mihemko ya kwenye mitandao.
Alianza Lema alipoonyesha hayupo tayari kuona rais aliechaguliwa kihalali akitukanwa na hapendi,tukio la Msigwa limeonyesha si kile akisemacho ndio afanyacho hapana,yeye ameonyesha habari nyingine kuwa suala la maendeleo ya nchi ni suala la wote na linagusa Tanzania nzima,
Wito Msigwa amethubutu wengine wenye kufuata maneno yake tuige!
Tuungane kumpigia chapuo apewe uenyekiti CHADEMA ameonyesha utofauti ya wenyeviti wote wa upinzani!
Nawasilisha mawazo huru!