Mpeni huu ujumbe Hasheem Thabit.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpeni huu ujumbe Hasheem Thabit..

Discussion in 'Sports' started by The Boss, Jul 7, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  NILIKUWA NASOMA GAZETI LA BAAB KUBWA NIKAKUTA STORY YA KUSHANGAZA

  HASHEEM THABIT ALIKWENDA KWENYE CLUB YA RUWAY LOUNGE ILIYOPO SHOPERS PLAZA

  NA AKAKUTANA NA BITOZI MMOJA,HIVI,MTOTO WA KIMEY WA CRDB....
  SASA HUYO DOGO AKATAKA KUMPA HASHEE OFFER YA VINYWAJI....
  HASHEEM NA WAPAMBW WAKE WAKAONA WANATUKANWA...
  KWA KUONESHA YEYE NI NANI HASHEEM AKAAGIZA VINYWAJI VYOTE VILIVYOPO
  HAPO CLUB NA AKATOA CREDIT CARD YAKE BILA KUJALI NI KIASI GANI
  KIMEM COST NA KUTANGAZA KUWA "THE PARTY IS OVER"

  SASA HUU USHAMBA WAKE WA KUSHINDANA WA WAJINGA WENZIE
  KU SPEND UTAKUJA KUMFANYA AJE AWE KICHEKESHO....

  ASOME STORY ZA KINA MANUTO BALL NA PIPEN NA HII YA HUYU MWINGINE..HAPA


  Fri Jul 02 01:00pm PDT
  The sad tale of Ray Williams: 10-year NBA vet now homeless

  By Dan Devine
  [​IMG]
  Amid the ceaseless acquisitive frenzy that is NBA free agency, the Boston Globe dropped a harrowing profile of Ray Williams, a former captain of the New York Knicks and a reserve guard on the Boston Celtics' 1985 NBA Finals team who played for six teams during a 10-year NBA career from the late '70s through the mid-'80s. Williams' name might not ring out with today's fans, but he averaged 20 points per game in two different seasons (1979-80 and 1981-82), hung 52 on the Detroit Pistons as a member of the New Jersey Nets on April 17, 1982, and once drew (admittedly aspirational) comparisons to the great Walt Frazier.
  Now, writes the Globe's Bob Hohler, he's homeless.
  Every night at bedtime, former Celtic Ray Williams locks the doors of his home: a broken-down 1992 Buick, rusting on a back street where he ran out of everything.
  The 10-year NBA veteran formerly known as "Sugar Ray'' leans back in the driver's seat, drapes his legs over the center console, and rests his head on a pillow of tattered towels. He tunes his boom box to gospel music, closes his eyes, and wonders.
  Williams, a generation removed from staying in first-class hotels with Larry Bird and Co. in their drive to the 1985 NBA Finals, mostly wonders how much more he can bear.
  The most sobering thing about Hohler's piece? Williams' decline into unemployment, poverty and homelessness appears to have just kind of ... happened.
  Williams, a former University of Minnesota standout who averaged 15.5 points and nearly six assists per game during his time in the league, adamantly tells Hohler that he's "never fallen prey to drugs, alcohol, or gambling," and he's never been arrested, so it's not like he's some shiftless sociopath whom we can easily vilify. According to the feature, there wasn't one key traumatic event that keyed Williams' downfall, with one possible exception — already down on his luck, Williams received a grant from the NBA Legends Foundation, which provides need-based assistance to people who have been involved in the pro game. But according to court records, Hohler writes, "he lost the money ... when the widow of a condominium owner who agreed to a lease-to-own contract with Williams opted out of the contract after the owner died." Which sounds like a horrendously bad break that exacerbated an already ugly situation.
  It doesn't sound like a case of over-the-top avarice, either; while Hohler notes that Williams was "no longer able to sustain his NBA lifestyle" when he first filed for bankruptcy in 1994, he doesn't mention any particularly conspicuous consumption or extravagant expenditures. As the story goes, Williams just hasn't been able to hang on to any of a slew of off-court jobs over the course of the 23 years since he retired in 1987. Now, he's got nothing except the '92 Buick he sleeps in and a '97 Chevy Tahoe that he can't get out of hock.
  There's no prime mover behind the disintegration, no obvious flaw in the system against which to rage. Like any story of slipping through the cracks in American society, that makes it harder to digest, compartmentalize and set aside.
  Maybe NBA players of today, who make exponentially more money than their predecessors before ever stepping on the court, do owe a fiscal debt to the players who came before; then again, maybe Williams bears the blame because he blew the roughly $2 million he made in contracts during his career. Maybe Williams' family, former friends and associates merit some scorn for allowing him to live alone in a car in Florida; then again, maybe they've all had to distance themselves from Williams after 20-plus years of never getting his stuff together and failing to repay repeated loans, favors and kindnesses.
  Maybe agencies like the Legends Foundation and the NBA Retired Players Association need to do more to help people like Williams; then again, maybe they've already done enough, having given him grants totaling more than $12,000. Maybe his coaches, teachers and mentors failed him, setting him to serve as one more awful example of how, when it comes to young basketball players, the only training and skill development that anybody really cares about takes place on the hardwood. Then again, maybe "Society's to blame" is a red herring that divests the downtrodden of personal responsibility.
  Whichever way your sympathies run, the story of how Ray Williams' life fell apart should serve as a cautionary tale for athletes of the imperative to prepare for life after the game — and, frankly, a jarring reminder to all of us that we should appreciate what we're lucky enough to have while we're lucky enough to have it.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,690
  Likes Received: 82,554
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa la huyu kijana kazungukwa na watu ambao hawana uwezo wa kumpa ushauri mzuri. Kipindi hiki alitakiwa awe katika mazoezi ya hali ya juu ili kuimprove uchezaji wake na hivyo kuepusha balaa la kupelekewa tena D league mara msimu mpya utakapoanza. Asipoangalia baada ya mkataba wake wa sasa kumalizika inawezekana kabisa kusiwe na timu itakayomtaka kumsajili kutokana na kiwango cha uchezaji wake kuwa kidogo na hii negative attitude anayoionyesha jamii.
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  The Boss, huyu kijana anahitaji ushari wa kisaikolojia ulioandika ni moja tu yaliyoripotiwa fikiria ni mangapi huyu mshamba katenda na hayako reported. Halafu kampani yake kubwa ni kama kina Garden Habashishi wa ja ha zi la redio ya wafu so what else do u expect?
   
 4. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  jamani!,hivi mtu akitaka kukupa offer ya kinywaji ana maana wewe huna ela ya kununua?,si utamaduni wa kuthaminiana tu.Anyway labda kuna kitu huyo mtoto wa Kimey alikionyesha zaidi ya hiyo offer,tofauti na hapo Hasheem atakuwa ana matatizo
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nahisi Hasheem alitaka kumwonyeshwa huyo dogo kwamba na yeye 'pesa' zipo!:A S-eek:
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  U-braza tu ndo unamgharimu huyu.Wapambe hawajamuambia bongo ukiwa celeb ndo unakunywa za bure?Hana mpambe mzaire hata mmoja akamshtua jameni?lol
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  ushamba tu!
   
 8. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nivema angejifunza hata kwa mfano wa MR Nice, na yeye alikuwa anafanya ujinga huo huo, naamini kwa sasa anajutia kwani hata pesa ya kujikimu hana

  Ni vema huyu kijana akabadilika,na naamini marafiki ambao wanaakili za kistarehe ndo wanamharibu,,,,Ni kwanini wasiangalie hata mifano kutoka kwa wenzao Waganda?
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Waswahili walishasema "Masikini akipata, ****** hulia mbwata" na "Wamoja havai mbili".

  Halafu acha kumtaja Hasheem on the same breath na Manute Bol, alichofanya Manute, hata kama kafa bila hela, kimemuonyesha kwamba ni mtu mwenye utajiri wa roho.Manute hakuwa na ubishoo wa kitoto, Manute alikuwa na uchungu na watu wa kwao Sudan kusini, ndiyo maana Sudan Kusini Manute is up there with John Garang.Manute kasaidia mamilioni ya dola kwao wakati yeye mwenyewe hakutaka makuu kabisa.

  Siyo hawa watoto walevi wa u celebrity, mpira wenyewe hawawezi wanapelekwa D-League tu, kazi fujo za kitoto.

  Halafu hizi habari za kulaumu washauri naona zishapita.Hashimu si mgeni tena bongo wala Marekani, wala si minor, Calhoun kashamfunda sana, NBA kashaiona, kama anakuwa mshamba kama vile ndiyo leo anashika credit cards zenye hela tutamshangaa.
   
 10. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Arudi Marekani akaanze kufanya mazoezi. Wenzie akina Michael Jordan walikuwa wanashinda gym wakati wa summer, ili season ikianza isiwachukue muda mrefu kurudia hali yao ya kawaida kwenye kazi yao. Sisemi kuwa TZ hakuna gym, ila nadhani akiwa huku distractions ni chache, utajigamba kwa nani Marekani? Halafu wapambe wako busy kazini au shuleni.
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hata hapa Bongo haendagi gym huyu dogo labda kama ana gym home
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kamanda nimepita ale kwenye kibanda chako cha internet nimeambiwa umetoka na simu ya mkononi umeibiwa! Nitakupataje zaidi ya hapa JF?
   
 13. n

  nndondo JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  its so so so sad, nashindwa kuelewa hata mama yake yuko wapi kumbana maaana mwanzoni alikua ana parade nae huku na kule. Mi nadhani huyu kijana ameshajitoa kwenye mpira na pia aelewe juu ya hii new trend kwenye basketball Celtic wamebadilisha kabisa mtazamo wa basket duniani kwa kuonyesha kwamba sio tena mchezo wa big guys, wale watoto wafupi wakawaida wametingisha kwa hiyo kama huyu mtoto bado anategemea kuuza kwa urefu na ukubwa wa umbo lake hiyo siyo deal tena, what a dissppointment atamsikiliza nani sasa maana story hizi chafu zimeanza siku nyingi ama anataka mpaka ubalozi wa marekani umuite?
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Masa ndugu yangu.... lini utaacha uchokozi??
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh teh salama lakini kiongozi?
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Yaani............
   
 17. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2010
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ni kijana asiyejua atendalo. lakini kwakuwa anaendesha maisha yake mwenyewe mwacheni. mimi sishangai, lakini nnauhakika Hasheem siyo mchezaji kwa fani, bali hapo alipoameotea kwaajili ya maumbile yake. angejua sasa ndiyo ulikuwa wakati wake wa kutumia pesa aliyoipata ku-invest kwenye mazoezi na shule ambayo itamfanya amiliki zaidi mchezo na kuweza kujiuza sokoni.lakini yeye ndo kwanza yupo kwenye mwanzo wa mwisho.
  alipokuja DSM akakutana na baba mwenyenyumba ikulu. alipotoka huko ni kelele kwa kila mmoja, kuwa yeye anafahamika ikulu, kumbe kwanza yeye ndo anaiaibisha ikulu. dunia ya leo ni kama uwanja wa mpira, yaani kijiji ni kikubwa kuliko uwanja wa mpira. ukiona fursa kamata,ukichelewa wengine wameshachukua.hapo da hasheem atazeeshwa na pombe , vyakula visivyokubalika kwa wanamichezo na wanawake , na huo urefu wake akirudi zoezini ataona jinsi atakavyokuwa. bora asikie na abadilike sasa.
   
 18. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kama ni kwelu basi utoto unamsumbua na ujinga.kwani kulikua na tatizo gani kumwambia jamaa "asante niko powa"?


  najua jamaa kamfanyia maksudi lakini Hasheem hakuitaji kujibu mapigo kama mtu unajiamini mambo yako powa.
   
 19. K

  Keil JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu BAK,

  Huo ushauri wako ni muhimu sana kwa kijana. Unajua mwaka jana alinishangaza sana alipopelekwa D-League alisema hajali kwa kuwa paycheck yake bado iko pale pale. Huo ni mtazamo wa mtu ambaye hajali kujiendeleza ama ku-improve paycheck yake.

  Katika michezo, ili kupandisha kiwango ni pamoja na mazoezi na pia kupata dakika za kutosha kucheza game za mashindano ambazo zinaku-expose kwa potential teams ambazo zinaweza kukuhitaji in future. Ndiyo maana wachezaji ambao wanajiamini kwamba wanaweza ku-deliver, wakipigwa bench huwa wanaomba kuwa traded kwa kuwa anajua akiendelea kukaa bench kiwango kitashuka. Kwa mwendo anaokwenda nao anaweza kujikuta next contract paycheck inashuka badala ya kupanda ama asipate kabisa timu ambayo itakuwa inamhitaji.

  Labda watanzania tuna hulka ya kuridhika mapema ndiyo maana hatuendelei.:A S confused:
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Huyu dogo kwishney..
   
Loading...