Naubembeleza usinidondoke na kuniondokaAaaaaaaah! Nkajua kuna rimutu umeridondokeaaa!
Paw anahitaji morning jogging everyday...Sasa l'aziz inabidi uniandikie nijibu mapigo hapa ya huu utenzi . Ila mie nipo hapa, huo moyo tutaufunga papi na nitaubeba mgongoni hadi tuzeeke pamoja. Huyu Excel muache asubirie mkono udondoke. BADILI TABIA, hii kapo yetu imeishinda ya zarimondi
Sasa l'aziz inabidi uniandikie nijibu mapigo hapa ya huu utenzi . Ila mie nipo hapa, huo moyo tutaufunga papi na nitaubeba mgongoni hadi tuzeeke pamoja. Huyu Excel muache asubirie mkono udondoke. BADILI TABIA, hii kapo yetu imeishinda ya zarimondi

Pole Moyo pole..
Paw anahitaji morning jogging everyday...
Mbadilishie mfumo mzima wa 'malisho' yake ya kila siku..
Acha kumpa stress..:glasses-nerdy:
Then....:mimba:...on time! okay?
Umeufanya nini moyo wa mwenzio?
Usinambie ushakuwa mkaanga sumu za mioyo?
Pole sana Paw, nitakuombea upone, ila nawe usiache kufuata ushauri wa madaktari.
Soma hapa mkuu, Dokta ameshauri na jitihada zipo
Dr kasema morning glory mara mbili kutwa....