Hii ni sehemu ya maisha yangu ambapo mimiHakika nafsi ni mpenda starehe na muamrisha maovu, ukiimudu nafsi umeimudu dunia
Daaa, please ee nafsi yangu....itambue thamani yako🙏🙏🙏Tafadhali acha kurudi kwa watu wale wale wanaoendelea kukuumiza. Uliwaondoa kwa sababu. Ndio, wanaweza kuendelea kugonga mlango, lakini sio lazima uendelee kuufungua.
Kila wakati unapowafungulia, wanarudia mzunguko huo huo na unabaki kukwama. Unastahili kutibiwa kwa heshima.
Hakika, hakuna mtu mkamilifu, lakini watu wanaoumiza sana moyo wako kamwe hawatoi nafasi ya kukuponya.
Hatimaye ni wakati wa kujifunza kuachana na watu na mambo ambayo hayakufanyi ujisikie furaha, kupendwa na kuthaminiwa utu wako.
Niamini. Ninakujua zaidi ya mtu mwingine yeyote. Nipende mimi.[emoji173][emoji419][emoji375][emoji177]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii vita ni ya kudumu nitakuja na ufafanuziMkuu unazungumziaje kuhusu mgogoro wa nafsi na akili( mind)?
Jamani najaribu kuleta vitu tofauti lakini naonekana mimi ndio mhusika[emoji23] Haya ni yetu sote na yanawagusa wenye kupitia changamoto husikaMlozi kimbe hadi nawewe unapigwagwa na kizito!!!!
hawaelewi mkuu njoo na ufafanuzi🙏Jamani najaribu kuleta vitu tofauti lakini naonekana mimi ndio mhusika[emoji23] Haya ni yetu sote na yanawagusa wenye kupitia changamoto husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe mzuri sana kaka mshana Ubarikiwe.Tafadhali acha kurudi kwa watu wale wale wanaoendelea kukuumiza. Uliwaondoa kwa sababu. Ndio, wanaweza kuendelea kugonga mlango, lakini sio lazima uendelee kuufungua.