Sina sababu ya kueleza sana...lakini kila mmoja anajua wazi ni mambo gani amepitia yeye na mama yake mpaka leo hii amekuwa mtu....wqkati huo baba amejiwwka kando, anajidai hajui kinachoendelea.
Yawezekana mama yako aliteseka kuanzia siku ya kwanza ya utungisho wako...pengine baba alikuja hajaoga ananuka jasho, ananuka pombe, akamtukana mama, akamsukuma, akamlazimisha kumlala...mimba ikatungwa bila ridhaa ya mama..mama akalea mimba kwa machungu na mateso....ukazaliwa baba hakushughulika hata kununua kipande cha nepi...mama akapambana kuhakikisha unakuwa salama. ...
Hujui alikopa, aliomba kwa nduguze, au alitumia mbinu gani kuhakikisha unakula na unakuwa na afya bora.
Hakika kuna wakina baba wakatili....
Tuwapende sana mama zetu
Wana siri nzito juu ya maisha yetu..
View attachment 1183089