Mpende sana mama yako..

Mpende sana mama yako..

Daaaah kama kumpenda mama lazima umchukie baba, basi huo upendo una walakini
Hakuna mahali niliposema umchukie baba.....mzazi ni mzazi tu...
Nilichojaribu kusisitiza ni tuwapende mama zetu...
 
Endapo nisipokujakuwa baba bora wa kusimamia majukumu yangu...watakuwa na haki ya kusema hivyo
Unavyoona sasa hivi ke wanavyosumbua,hata kwenye ndoa kuna hizo changamoto...mwisho wa siku uvumilivu unakushinda na kuamua kuachana;hapo ndipo mama anammezesha mtoto sumu kumchukia baba yake;ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili...wamama wana siri kubwa sana na hawawezi kukuambia sababu ya msingi iliyomfanya aachane na baba yako zaidi ya kukudanganya pamoja na kupandikiza chuki tu.
 
Ni kweli kabisa uliyoyasema...
Lakini endapo umeachana na mkeo, ukawa unarudi nyuma kulipia watoto wako ada na kuwapatia mahitaji mengine ya msingi, kunasiku watakuwa wakubwa na ukweli na uongo vitajitenga..

Tatizo la wazazi wengi wa Kitanzania wakishagombana au kuyengana, wanahamishia chuki zao kwa watoto....
 
Inategemea na aina ya mama,kwa mfano mama mwenye mchepuko nje anaweza akamzuia baba wa mtoto asimuone mwanaye,au mtoto akawekewa mazingira ya kutokuonana na baba yake.Wapo wababa wanaoteseka kwa kuwekewa kizuizi cha kutokuwa karibu na watoto wao.
 
Ni Kweli hilo lipo sana tu...lakini mara nyingi imekuwa wanaume ndiyo tunaongoza kwa kuzitelekeza familia....wapo wanawake hao wachache wenye akili finyu, wanaodanganywa na michepuko, lakini soon ile michepuko ikiondoka zake....wanawake hao hurudi kwa waume zao wakijutia makosa....bahati mbaya wwngi wao wanakuta it's too late
 
Kuna harufu ya ubaguzi wa kijinsia hapa, nasema hivi Mungu kaamuru "waheshimu Baba yako na Mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana Mungu wako" Kutoka 20:5.
 
Kwa mfano,kwa bahati mbaya umeoa mwanamke ana kazi nzuri na baada ya miaka 3 akakuzalia watoto 2 labda.baada ya hapo tabia ikabadilika akawa anatembea na mabosi wake na wewe ukawa unanyimwa unyumba;akakutafutia sababu ili muachane,na kweli kutokana na mateso ikabidi uondoke.....huyo mwanamke akakuwekea mazingira ya kutowaona watoto;baada ya wale watoto kukua wanakuja na msemo 'nampenda sana mama yangu kuliko baba yangu'........wewe utajisikiaje?
 
Hakuna mahali tulipoandika tuwadharau baba zetu...nijukumu letu kiwaheshimu kama maandiko yalivyoagiza...

Hapa nimesisitiza tuwapende sana mama zetu..

Kuna tofauti kati ya kupenda na kuheshimu
 
Kwa mfano,kwa bahati mbaya umeoa mwanamke ana kazi nzuri na baada ya miaka 3 akakuzalia watoto 2 labda.baada ya hapo tabia ikabadilika akawa anatembea na mabosi wake na wewe ukawa unanyimwa unyumba;akakutafutia sababu ili muachane,na kweli kutokana na mateso ikabidi uondoke.....huyo mwanamke akakuwekea mazingira ya kutowaona watoto;baada ya wale watoto kukua wanakuja na msemo 'nampenda sana mama yangu kuliko baba yangu'........wewe utajisikiaje?
Hapo watoto hawana kosa coz watakuwa wamelishwa hivyo tangu utotoni...
Lakini ni desturi zetu kuwa ndoa ikishavunjika, watoto wakibaki kwa mama, basi mama atawalisha sumu mbaya juu ya baba yao ili kujiweka sage side...

Watoto wakibaki kwa baba, baba atawalisha sumu kuwa mama yao ndiyo mbaya,....
Lakini ukweli bado utabaki kiwa 90% ya wanawake wanaoteseka na watoto, vyanzo ni wanaume
 
ha ha ha inategemea,wamama wengine wanakuwa wajuwaji sana ndio maana wababa wanakimbia
 
Wqjuwaji huwa hawakosekani ila si wengi kama wanaoamua kubeba jukumu....mara nyingi mwanamke akishazaa, akili yake inawaza watoro zaidi.....
Japo kuna wachache wanaweza wakaacha mtoto wa wiki tatu wakaenda disco...
 
Mother huwa ni mtu wa hasira visilani kulala mika full lawama namkubali sana mshua japo na mama namkubali
Sawa....lakini siku uliyokuwa unazaliwa....mama yako alikuwa anatetea uhai wa nafsi mbili....

Mshua yeye yupo mbali kidogo anasubiri kuuliza...umeleta jike au dume..??
 
Mimba iliyolelewa kwa machungu na mateso Mara nyingi mtoto akizaliwa anakuwaga na matatizo mengi ..maana kila akiwazacho mama wakati yeye mtoto akiwa tumboni humuathiri moja moja ..

Izo mimba za bila mpangilio zinakuwaga na athari kubwa kwa hao watoto watakapozaliwa ..maana wakija kuwa wakubwa ndo shida inapoanzia..
 
Back
Top Bottom