Mpende sana mama yako..

Mpende sana mama yako..

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
3,517
Reaction score
9,437
Sina sababu ya kueleza sana...lakini kila mmoja anajua wazi ni mambo gani amepitia yeye na mama yake mpaka leo hii amekuwa mtu....wqkati huo baba amejiwwka kando, anajidai hajui kinachoendelea.

Yawezekana mama yako aliteseka kuanzia siku ya kwanza ya utungisho wako...pengine baba alikuja hajaoga ananuka jasho, ananuka pombe, akamtukana mama, akamsukuma, akamlazimisha kumlala...mimba ikatungwa bila ridhaa ya mama..mama akalea mimba kwa machungu na mateso....ukazaliwa baba hakushughulika hata kununua kipande cha nepi...mama akapambana kuhakikisha unakuwa salama. ...

Hujui alikopa, aliomba kwa nduguze, au alitumia mbinu gani kuhakikisha unakula na unakuwa na afya bora.

Hakika kuna wakina baba wakatili....

Tuwapende sana mama zetu
Wana siri nzito juu ya maisha yetu..
FB_IMG_1564468971878.jpeg
 
Wana siri nzito juu ya maisha yetu..View attachment 1183089

Mbona wanawanyeshwa watoto pombe !!??.
 
Nakazia..... Mama na aheshimiwe
 
Watoto wako nao watakuja waseme wanampenda mama yao kuliko kukupenda wewe baba yao kwa sababu ulimlazimisha mama yao kufanya ngono;unachokifanya leo,nawe kitakugeukia (nawe utakuwa baba)
 
Endapo nisipokujakuwa baba bora wa kusimamia majukumu yangu...watakuwa na haki ya kusema hivyo
 
Back
Top Bottom