Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,678
- 9,104
Nafikiri wanaume wote humu wamekupata na watalifanyia kazi.
Pm hapana, hapa hapaPM basi jaman dah!
Waitwe machizi, yeye ndiye alikabidhiwa na Mungu sasa kilimfanya ale haraka haraka bila kumsubili Mungu amuulize ni nini ndiyo wakitongozwa tu na mwanamke lazima aende!Na nyie mliokubali kula tunda kwa ushawishi wa mwanamke tuwaiteje?