Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Yaani huyo kachukua vifungu kufananisha na alicho andika mie mwenyewe nilipitia hivyo vifungu [emoji39] [emoji39] [emoji39]Ngoja nisome biblia ili nihakikishe,maana mijitu ya jf ni miongo sana
Yaani huyo kachukua vifungu kufananisha na alicho andika mie mwenyewe nilipitia hivyo vifungu [emoji39] [emoji39] [emoji39]Ngoja nisome biblia ili nihakikishe,maana mijitu ya jf ni miongo sana
Kaka shemeji sio kuwa yamejificha sema kwamba hutaki kuyafuata.Kila siku nasoma biblia. Ila kuna mistari imejificha saaana.
But thanks for the words. Klismasii hii lazima mtukumbushe kwa namna yoyote
Hahaaaa!! Ila kuwatendea wao ndio uanamke huo.Mmh hawa hawa ambao kumtendea mke mazuri ni kuendekeza tamthilia za kifilipino?
Yaani Amen anakuja kuisema asubuhi.Kutwa mitandaoni maombi saangapi dakika 2 hoi mtu anaomba huku kalala kitandani hapo kuna maombi kweli[emoji39] [emoji39]
My kaka we tuma hela tu,pilau wala usijali.Sis asante nashukuru leo umeni Cc humu maana kina Shunie kutwa kuniqoute jukwaa la wakubwa.
Mungu akupe mkono mtamu mwezi huu unipikie pilau tamu tuumalize mwezi salama. Basi itikieni na (shoga) ahosti zako wote aminaa.
Na ukiwakuta busy kumjadili Hamisa,yaani Mungu aingilie kati kwakweli.Kwa mange huko ndiko washindako tena wengi wao team wema na zari midume hiyo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mara leo dai kampa nani mimba haaa haaa
Nimetamaniiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asubuhi kumekucha haaa jamaniYaani Amen anakuja kuisema asubuhi.
Utazani hata walishawahi kutana naoNa ukiwakuta busy kumjadili Hamisa,yaani Mungu aingilie kati kwakweli.
Ujinga kama walionao sasa wanaume, Mungu kawambia muwe walinzi wa wake zenu mnakuwa walinzi wa anasa na michepuko badala ya mke, kilicho mfanya Adam asiende na mkewe ni nini kama si kukwepa majukumu kama wababa wanavyokimbia familia zao[emoji238] [emoji238] [emoji238] [emoji238] tu kama mee wengineYaani wanawake walivyo na upungufu wa akili, ingetokea Nyoka yule aliyekuwa Eden angekuwa na Uume hakika angempiga Mashine Eva.
Wajinga sana hawa viumbe.
Ahaaa wahiNini tena jamani. Hiyo miguu nipo tiyari kukuridhisha
Na nyie mliokubali kula tunda kwa ushawishi wa mwanamke tuwaiteje?Yaani wanawake walivyo na upungufu wa akili, ingetokea Nyoka yule aliyekuwa Eden angekuwa na Uume hakika angempiga Mashine Eva.
Wajinga sana hawa viumbe.
PM basi jaman dah!Ahaaa wahi
Hahahahahaah lohhh umenivunja mbavu zangu mwehhh!Uzi huu ulikosa wachangiaji maana hakuna anaweza kuyafanya hayo wengi ni midabwada tu [emoji8] [emoji8]
Nasubiri uzi mwingine wa Umpende Mumeo.....uliojaa quotations za BibliaMpende mke wako mzuri
Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana.
Mithali 15:1
Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita
Mwanzo 2:19
Usimpe mwanamke mwingine upendo anaostahili mke wako. Huo ni uasherati.
Matayo 5:28
Usimlinganishe mke wako na mwanamke mwingine. Kama huyo mwanamke alikua anakufaa basi Mungu angekupa umuoe
2wakorinto 10:2
Uwe mpole, mvumilivu na msikivu. Amevumilia mengi na amejitolea na ameacha vingi ili awe pamoja nawe. Inamuumiza sana unapokua mkali na kumkera
Waefeso 4:2
Usimfiche chochote. Mmekua kitu kimoja na hivyo ni msaidizi wako, usiweke siri yoyotr kati yenu
Mwanzo 2:25
Usiseme kitu kibaya kuukosoa mwili wake. Amejitolea uzuri wake na mwili wake kukuzalia ww watoto. Ni binadam pia mwenye moyo, sio mwili tu.
Mithali 18:22
Usiulinganishe mwili wake na thamani yake. Mthamini hata pale mtakapofikia uzee
Waefeso 5:29
Usimkaripie kwenye umati wa watu. Suluhisheni matatizo yenu chumbani mkiwa wenyewe.
Matayo 1:19
Mshukuru kwa kuwalea watoto wenu vizuri, nyumba yako pamoja na wewe. Kwani amejitolea kufanya hayo yote.
1wathesalonike 5:18
Mapishi ya wanawake hayafanani. Furahia mapishi ya mke wako. Sio rahisi kumpikia mtu milo mitatu kwa siku kwa siku 365 kwa mwaka kwa miaka mingi mlioishi wote
Mithali 31:14
Usiwaweke ndugu zako kabla yake. Yeye ni mke wako. Ndiye anaekaa na ww. Lazma umpe kipaombele kabla ya ndugu zako.
Mwanzo 2:24
Wekeza katika ukuaji wake kiroho. Mnunulie vitabu, na chochote ambacho kitamsaidia kukua kiroho atembee na Mungu siku zake zote. Hicho ndicho kitu cha pekee unachoweza kumfanyia mke wako.
Waefeso 5:26
Tumia mda wako ukiwa nae kujifunza bibilia na kusali
James 5:16
Tenga mda wa kukaa nae, kucheza nae na kufurahia uwepo wake. Kumbuka, utakapofariki, yeye ndiye ataaesimama pembeni ya kaburi lako. Huenda marafiki zako wakawa na kazi nyingi na kushindwa kuhudhuria.
Mhubiri 9:9
Usitumie pesa zako kumrubuni au kumpelekesha. Pesa zako ni za kwake pia. Mmekua kitu kimoja na ni mrithi wa kila ulicho nacho ulieunganishwa nae na Mungu.
1peter 3:7
Usifichue madhaifu yake. Utakua unajifichua na ww. Mlinde.
Ephesians 5:30
Waheshimu wazazi wake na kuwa na moyo wa upole kwa ndugu zake.
Wimbo ulio bora 8:2
Usiache kumuambia ni jinsi gani unampenda kila siku ya maisha yake. Mwanamke hachoki kusikia hilo.
Ephesians 5:25
Kua katika njia ya Mungu, ndicho kitu kitakacho kufanya uwe mume bora na mwenye hofu ya Mungu.
Warumi 8:29