GE2010 Mpendazoe apinga matokeo mahakamani

Tunachotaka ni accredited Kichwa si accredited chuo. Kichwa kinachosoma kwenye accredited chuo na kazi yake ni kubeba makarai tu kitakusaidia nini?
Kama hujasoma chuo kinachotambulika hutakiwi kujipa sifa usiyonayo. Vinginevyo kila mtu angeanzisha chuo chake na kujipa digrii au vyeti anavyotaka. Fikiria kabla ya kuzungumza na kuanika unayoyafikiria kadamnasini.
 
Anafata nini mahakamani wakati wanasema hata Jaji Makame Amenunuliwa? Usalama wa taifa wamenunuliwa, wanajeshi wamenunuliwa

Hivi hii akili??? unaposema jeshi na usalama wamenunuliwa unataka ukiingia madarakani uajiri wanajeshi/usalama wapya au?

mambo vipi?
unajua uko wapi wewe?
taratibu basi,karibu sana jamvini
 


Sema mbunge wa watu wa Segerea Mkuu, siyo mgombea huyo ni mbunge!!!!!
 
Good timing. Nadhani hii itamfanya JK asimteue Makorongo kuwa Waziri kwa kuwa it is obvious kesi hii atashindwa na kutupwa korongoni nje ya bunge. Safi sana Mpendazoe, na JK akimpa uwaziri tutajua kuwa JK ni mgumu wa kuelewa. What a perfect timing, loh, watu wako na strategy kali and i salute them.

Mara nyingi kesi za uchaguzi hazifunguliwi kabla serekali iliyoshinda haijaundwa, so this is the record and inamuondolea chance ya kuwa kwenye serekali .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…