Mpendazoe ana chuki binafsi, apuuzwe

Kama kweli jina lake lilishindwa mara mbili halafu mara zote hizo kamati kuu ililirudisha kweli Mbowe anastahilikujiuzulu
 
Kama kubebwa Na chama mpendezoe alibebwa sana toka segerea mpaka kishapu pia kama kukiangusha chama alikiangusha sana yeye kama mgombea aliyejiandaa kuwa mbunge kwa nini alichelewa kuanza kampeni zake za ubunge yeye pia anamapungufu mengi tu alifanya Adi wanachama Wa chadema kishapu wakaandamana kupingana Na makao makuu kuwaletea mpendezoe
 
Yaani mtu yoyote ndani ya Chadema atakayekuwa na fikra tofauti na Mbowe anakuwa na chuki binafsi daah!! Mbowe mtume wa Chadema marufuku kumpinga.
 
Huna akili kabisa mkuu.... Familia yako ina hasara mno..
Fadhali familia yangu ina hasara,yako ipo kwenye msiba kwani wewe tayari umeshachukuliwa msukule na sasa upo lumumba unalinda langoni wakati nyumbani kwako wanajua umeporomoka toka juu ya mnazi ukigema tembo
 
Mbowe ndio ajifunze kuheshimu maamuzi ya wanachama. Nchi nzima ilikuwa kilio cha kuletewa watu ambao hawakutakiwa na wanachama. Alimbeba Mpendazoe sasa kageukwa.
Hata hivyo kuhusu Lowassa sitofautiani na Mpendazoe hata mimi nilimdharau Mbowe.
Tangu lini panya nyumba akampenda panya buku?wewe ni panya wa nyumbani na wenzako ni panya buku Nyinyiemu
 
Mbowe ndio ajifunze kuheshimu maamuzi ya wanachama. Nchi nzima ilikuwa kilio cha kuletewa watu ambao hawakutakiwa na wanachama. Alimbeba Mpendazoe sasa kageukwa.
Hata hivyo kuhusu Lowassa sitofautiani na Mpendazoe hata mimi nilimdharau Mbowe.
 
Fadhali familia yangu ina hasara,yako ipo kwenye msiba kwani wewe tayari umeshachukuliwa msukule na sasa upo lumumba unalinda langoni wakati nyumbani kwako wanajua umeporomoka toka juu ya mnazi ukigema tembo
Lowassa anajuta sana kujiunga na chama chenye mazuzu kama wewe..
 
[QnUOTE="Van persie, post: [URL='https://www.jamiiforums.com/tel:15552057']15552057[/URL], member: 77448"]Chama kilimbeba sana,mwishowe anakuja kulipa fadhira kwa njia hii.Kweli tenda Wema nenda zako.Tumuukumu mbowe kwa scientific reasoning sio kwa mihemko.

Unaponiambia chama kimechuja.Kimechuja kwa kuangalia factors zipi?For me chama kimekua we have more councillors and legislators than ever.So tunapomuhukumu Mbowe tuje na facts sio propaganda kama alivyozitaja mpendazoe[/QUOTE]
Naona nyumbu mnafarakana kwani wewe ni chadema ipi chadema mafisadi au ni chadema masalia au chadema asili?
 
Aaah ufipa hali ni mbaya tujuzeni kulikoniii?
 
Endeleeni kutumbuana, wengine tufaidike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…