Mpemba anapotongoza.

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,094
Reaction score
2,603
Ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo, kifua kintuna kama nazi koroma, miguuyo injaa kama ndizi ya nkono wa tembo. He! Nifikirie mwenzio naumia mie..ee..ee.
 
hahahahaahhhahah wako humu kweli sina uhakika...
 
Ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo, kifua kintuna kama nazi koroma, miguuyo injaa kama ndizi ya nkono wa tembo. He! Nifikirie mwenzio naumia mie..ee..ee.
Mkuu hii si umeipata HAPA?
 
ahh! Mkuu ungempotezea tu ili mradi katuchekesha. Mbona copy and paste hapa za kumwaga? Au unadai mambo ya hati miliki....LOL
Mkuu ni katika kukumbushana tu, yaani hata kutoa credit kunamshinda!?
 
Thanks shosti. Thanks jaluo nyeupe. Thanks X-PASTER.
 
Ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo, kifua kintuna kama nazi koroma, miguuyo injaa kama ndizi ya nkono wa tembo. He! Nifikirie mwenzio naumia mie..ee..ee.

say it again
simba2: wazembe 0
 
Duh! Hii kali. Niliwahi kupata na hii juu ya utongozaji wa Wapemba (samahani kwa kuvamia uwanja):

Geuka nti n-geuke komba nkuchapie
Gueka chungu n-geuke mwiko nkupakue
Geuka kitanda n-geuke ntu nkulalie
 
Duh! Hii kali. Niliwahi kupata na hii juu ya utongozaji wa Wapemba (samahani kwa kuvamia uwanja):

Geuka nti n-geuke komba nkuchapie
Gueka chungu n-geuke mwiko nkupakue
Geuka kitanda n-geuke ntu nkulalie
Ha ha ha haaah!!
 
Jaman yaan ni kweli kabisa,
hao ndo wanavyoongea na hufanikiwa
 
Nimejitokeza mtoto wa UWANDANI PEMBA huyu jamaa kadanganya hatutongozi hivyo
 
Nimejitokeza mtoto wa UWANDANI PEMBA huyu jamaa kadanganya hatutongozi hivyo

Mkuu wenyewe wamesema wanavunja mbavu, huna sababu ya kujibu kukataa au kukubali nakushauri kubali yaishe tucheke pamoja, huu ni ule unaitwa utani wa jadi.
 
Jaman yaan ni kweli kabisa,
hao ndo wanavyoongea na hufanikiwa

Nyinyi ni shemegi zetu, tutaendelea kuudumisha sana Muungano kwa style hii msiwe na shaka, maadam Dada zenu wakikutana na Wapemba wanajiskia msihofu tutaendelea kuwatunza na kuwapa kila wanachokihitaji, haijalishi ni njia zipio tunazitumia kufikia lengo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…