Wasauzi walinichosha nilipopata taarifa kuwa kulikuwa na mwanamke amewakatia bima Ndugu zake kisha akaanza kuwaua ili apate malipo ya bima alizowakatia!!! Hawafai!! Wale wanahitaji dikteta kama Durtete wa kuwanyoosha.
Wasauzi walinichosha nilipopata taarifa kuwa kilikuwa na mwanamke amewakatia bima Ndugu zake kisha akaanza kuwaua ili apate malipo ya bima alizowakatia!!! Hawafai!! Wale wanahitaji dikteta kama Durtete wa kuwanyoosha.
Huo ujinga waje wajaribu bongo land ndo utajua Kuna watoto wa mama a.k.a wajukuu wa Nyerere Wana sura mbaya hao, Sema south Africa rushwa sana ndo shida ya ile nchi pia ninahisi kama Kuna makosa mengi sana yalifanyika hata baada ya uhuru wa ile nchi pengine walichokuwa wanapigania sicho kilichopo kwa sasa ivi
Ukijaribu kuiwazia ile nchi ninadhani ile nature ya uafrica ni kama ilipotea Wakati wanapigania uhuru wao na hata baada ya kupata uhuru wao kwa wao pia wakaanza kubaguana
Ndo shida ya uhuru ukizidi na pia kupata viongozi wezi na wala rushwa Namibia na South Africa walipitia the same issues mpaka Namibia anajitenga ila mpaka Leo huo ushenzi unaofanyika pale kwa mabida huwez kuukuta pale Namibia