mc gregor
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 1,121
- 2,194
Mpeleke uko kayumba uone akikuletea division zero ndo akili yako itakaa sawa. Ivi unajua ratio ya wanaofaulu kayumba na private ni kiasi gani? Kayumba wanafanya paper la form four watu 100 div 1 8 div 2 10 div 3 18 wengine waliobaki ni div 4 na zero. Wakati kwa private nzuri ni vice versa div 4 na zero unaweza kuta ni mbili au tatu. Usilete utani na elimu ya watoto. Una uhakika mtoto wako ana akili ya kuweza kuwa kati ya hao wachache watakaofaulu kwenye io kayumba? Tatizo lenu mnajikuta mnajua sana kubana matumizi mpaka mnataka kuharibu future ya za watoto wenu. Ukimpeleka kayumba akarudi na div 0 utaweza kumwambia nini? Unasema kabisa eti watakutana chuon wewe unajua ni asilimia ngapi ya hao wanaoingia vyuo vizuri wamepitia kayumba? Embu nenda pale muhumbili coet nk ukaangilie ni asilimia ngapi wanetoka kayumba za kawaida( ukiacha shule za vipaji kama mzumbe ilboru nk) na ukinganishe na waliotoka private za kawaida tu ndo ufanye maamuzi. Tatizo lako huyo mtoto wako humtakii future njema nyie ndo wale wazazi mnachangia sana kwenye kufa ndoto za watoto wenu.
All in all kama dogo yupo njema class ata akipita kayumba atapata grade nzuri na kufikia malengo yake ila ukae ukijua kama ni wale wa kubustiwa na kuhitaji msukumo mkubwa utampotezea huko kayumba
Sent from my iPhone using JamiiForums
All in all kama dogo yupo njema class ata akipita kayumba atapata grade nzuri na kufikia malengo yake ila ukae ukijua kama ni wale wa kubustiwa na kuhitaji msukumo mkubwa utampotezea huko kayumba
Sent from my iPhone using JamiiForums